Can you love one woman??

Can you love one woman??

Tafiti zingine kupoteza pesa tu mkuu.

Majibu yapo wazi.
Kama tunakubaliana kwanza kutenganisha upendo na uzinzi sina tatizo. Mtu mmoja au maneno yasiyo na utafititi wa kutosha yasitumike kufikia hitimisho kwa wanaume wa kiafrika.
 
Wakali wa mambo wanasema ukiwa na mchepuko basi haumpendi mkeo mkuu.

Sasa unampendaje kama unamtafutia viwiko pembeni?
Mkuu wajua ni kama tu Una gari yako Kali unaipenda na kila siku waenda nayo kazini,
Sasa Weekend una mtoko wako wa matembezi unaamua tu kupanda Dala dala ili kubadili mazingira lakin haimaanish kua huipendi gari yako.

Huko michepukoni sometimes hua tunatafutaga tu kusikia story zingine zaidi ya zile tunazozisikiaga kilu siku home au kwa bed.
 
Inaonekana hatujaelewana mzee baba.

Hatuongelei "kupenda"

Bali naongela kuwa katika mahusiano. Lakini tunaamini unapokuwa katika mahusiano na mtu basi umempenda-ndipo nikatumia neno kupenda.

Hii ni suala ambalo wizkid sio wa kwanza kulitaja, lipo linasemwa na linadhihirika saana.

Sasa.
Je ni kweli wanaume wa kiafrika hatujaumbiwa kuwa na mwanamke mmoja?

Kwako nimekuelewa unasema ni maamuzi ya mtu. Au sio!
Wanaume wa Kiafrica mpo wengi mno.Mmetoka katika jamii mbali mbali,mna mila na desturi mbali mbali.Mmepata mafunzo ya jamii tofauti na viwango vya elimu tofauti.
Mna uchu tofauti,urefu tofauti,kimo tofauti na vipato tofauti.
Na pia mna maisha tofauti na ubongo tofauti.Hamuwezi mkawa na mtazamo mmoja wala fikra sawa sawa juu ya hili jambo.
Ni absurd mkiwa na jibu na msimamo mmoja.Kuna waafrica matajiri kuliko Wizkid lakini wanatofautiana naye katika hili swala.
Binadamu wanatofautiana.There is No universal answer to your question.
Nawasaidie japo mimi Ke.
 
Mkuu wajua ni kama tu Una gari yako Kali unaipenda na kila siku waenda nayo kazini,
Sasa Weekend una mtoko wako wa matembezi unaamua tu kupanda Dala dala ili kubadili mazingira lakin haimaanish kua huipendi gari yako.

Huko michepukoni sometimes hua tunatafutaga tu kusikia story zingine zaidi ya zile tunazozisikiaga kilu siku home au kwa bed.
Hahahaha.
 
Wanaume wengi wanaweza kupenda mwanamke mmoja na kuwa na wanawake wengine nje wa kuhave fun nao.
Ila kupenda wanawake wawili au zaidi it's not possible.
It's possible.

kwanini unasema haiwezekani?
 
Wanaume wa Kiafrica mpo wengi mno.Mmetoka katika jamii mbali mbali,mna mila na desturi mbali mbali.Mmepata mafunzo ya jamii tofauti na viwango vya elimu tofauti.
Mna uchu tofauti,urefu tofauti,kimo tofauti na vipato tofauti.
Na pia mna maisha tofauti na ubongo tofauti.Hamuwezi mkawa na mtazamo mmoja wala fikra sawa sawa juu ya hili jambo.
Ni absurd mkiwa na jibu na msimamo mmoja.Kuna waafrica matajiri kuliko Wizkid lakini wanatofautiana naye katika hili swala.
Binadamu wanatofautiana.There is No universal answer to your question.
Nawasaidie japo mimi Ke.

Ila Wake wengi ni mila zetu?.

why iwepo katika tamaduni zetu!
 
Ki jamii nina m1 ila ki uhalisia wako zaid ya wa ta....oh sory.

Hakuna mwanaume mwenye mwanamke m1,hata akiwa nae bas kuna anaempigia puchu.
 
But,

Savage ni mtamu bwana tunatafuta nini?

Hahah...haya makitu yapo tofoauti sana

Nyingine ni big black ass

nyingine medium short white ass

Bado Chocolate Arabic and Asian Ass!
 
Wewe unaweza kupenda wanawake wawili au zaidi kwa wakati mmoja? Na kwa usawa kabisa?
Kila mmoja anapendwa kivyake.

hawawezi kupendwa kwa usawa.

Una eX B? Je uliyenaye sasa hivi unampenda kwa usawa na ex?
 
Hahah...haya makitu yapo tofoauti sana

Nyingine ni big black ass

nyingine medium short white ass

Bado Chocolate Arabic and Asian Ass!

Na kuna siri gani kwenye utamu wa kina dada waliotuzidi umri.

She's 10 old ahead.
 
Ki jamii nina m1 ila ki uhalisia wako zaid ya wa ta....oh sory.

Hakuna mwanaume mwenye mwanamke m1,hata akiwa nae bas kuna anaempigia puchu.
Hawa warembo wananipinga mkuu...nisaidie.
 
Back
Top Bottom