maringeni
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 3,197
- 3,901
Unamgegeda?Mother confessor, I love you so much mama, uko peke yako!
Au unayemgegeda humpendi?
Unamgegeda?Mother confessor, I love you so much mama, uko peke yako!
Mkuu acha basi hadi roho imeumaUkimuona mwanaume anampenda mwanamke mmoja juwa aidha hana pesa au hana nguvu za kiume

Ila kuna wanaume wanajiamini...Hakuna anayependa watu wawili at the same time!
Ukweli ni kwamba hata kama utaoa wake kumi, siku zote yupo mmoja umpendae kuliko wote.
Upendo haugawanywi!!
I may date 2 or 3 gals per time lakini yupo mmoja kati yao anabaki kuwa mpenzi wa nafsi yangu.
Refer kwa Mfalme Suleiman.
Wakali wa mambo wanasema ukiwa na mchepuko basi haumpendi mkeo mkuu.Kupenda kuko kwa aina nyingi. My Mama ni Woman na ninampenda. Niko na watoto wakubwa wa kike nao nawapenda pia. But kama kimapenzi ndio love yenyewe uliomaanisha jibu ni yes, I can Love Only One Woman, that is my Wife.
But hii haizuii kugegeda wanawake wengine, havina uhusiano kabisa. Naweza kuchepuka still nikawa nampenda Wife wangu. Kumgegeda Only wife is possible if only Dunia nzima yuko yeye mwanamke mmoja pekee.
angalauUmeshajua?
Pointi ipo clear imenyooka.In what contex.
Kumpenda kama mke?
Maana maishani mwako wapo mama,shangazi,dada,mke,watoto wa kike nk wote ni wanawake na huwezi kuniambia huwapendi.
Huyu mwalimu wako ama ni mpuuzi au ni mzee wa mila au dini au utamaduni wa kabila lake unatuhusu.
Kwa hiyo hawa mabilionea tunaowasikia na kuwaona wote wana wake wengi !Hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja, ukiona mwanaume ana mwanamke mmoja pekee ujue mgonjwa au uchumi unakataa lakini akizipata ndo utamtambua vizuri.Narudia tena hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja