Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,321
- 201,543
Sidhani mbona watu kukavu ila wanajopo la wanawake?
Daah wapi hiyo
Sidhani mbona watu kukavu ila wanajopo la wanawake?
Inaonekana hatujaelewana mzee baba.Dhana yangu ipo hapo kwenye maneno yaliyotumika. ndio maana nimesema iwekwe wazi kwamba mwanaume wa kiafrika ni Malaya. kitu ambacho sio kweli hata kama wengi wapo hivyo. Narudia tena kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtu haimaanishi upendo.
Kwangu ndio, inawezekana.
Sidhani mbona watu kukavu ila wanajopo la wanawake?
Sidhani mbona watu kukavu ila wanajopo la wanawake?
Mwanamke?
Yeah ni mzurii sema ni mkubwa sana kwa wiz kid it's not my business though![]()
Huo ni mtazamo wake yeye na ni mawazo huruKwa hiyo huyu jamaa hana pesa au hana nguvu za kiume ?
Weee acha tu nimekufa hai kwa ajili yakeHaha...inaonekana umekufa.
Hongera
1980- 1990. Sijawahi kuyaangalia mapenzi kiumri.
likewise it's not my business....
Nilitaka kujua maoni yako.
Gracious.
Inaonekana hatujaelewana mzee baba.
Hatuongelei "kupenda"
Bali naongela kuwa katika mahusiano. Lakini tunaamini unapokuwa katika mahusiano na mtu basi umempenda-ndipo nikatumia neno kupenda.
Hii ni suala ambalo wizkid sio wa kwanza kulitaja, lipo linasemwa na linadhihirika saana.
Sasa.
Je ni kweli wanaume wa kiafrika hatujaumbiwa kuwa na mwanamke mmoja?
Kwako nimekuelewa unasema ni maamuzi ya mtu. Au sio!