Can you love one woman??

Can you love one woman??

Hakuna anayependa watu wawili at the same time!

Ukweli ni kwamba hata kama utaoa wake kumi, siku zote yupo mmoja umpendae kuliko wote.

Upendo haugawanywi!!

I may date 2 or 3 gals per time lakini yupo mmoja kati yao anabaki kuwa mpenzi wa nafsi yangu.

Refer kwa Mfalme Suleiman.
 
Mmoja tu anatosha,cha msingi heshima,maelewano na kujariana basi, ila kuwa na branches ni kuongeza conflicts na unaweza usienjoy na hiyo ndoa yako cos muda mwingi unakuwa macho juu juu tu,Simu password kila sehemu
 
Ni udhaif pekee ndio unaoweza kufanya hilo likawezekana...... Kinyume na hapo labda ngozi nyeupe ila kwa sisi waafrika huo ndio utamaduni wetu
 
Back
Top Bottom