Can you love one woman??

Can you love one woman??

Kupenda kuko kwa aina nyingi. My Mama ni Woman na ninampenda. Niko na watoto wakubwa wa kike nao nawapenda pia. But kama kimapenzi ndio love yenyewe uliomaanisha jibu ni yes, I can Love Only One Woman, that is my Wife.

But hii haizuii kugegeda wanawake wengine, havina uhusiano kabisa. Naweza kuchepuka still nikawa nampenda Wife wangu. Kumgegeda Only wife is possible if only Dunia nzima yuko yeye mwanamke mmoja pekee.
hahahahaha umetisha bro hapa kwelikabisa
 
Mnafurahisha sana wachangiaji hii mada.Wengi mnaongea utasema mnayajua mapenzi.Mapenzi ni suala la kisaikolojia zaidi, hayana sayansi.Hapo ulipo unajidai umependa mtu lakini ukiambiwa ueleze mapenzi ni nini wala huwezi.

Hata mtu akikwambia ninakupenda, huwezi kuthibitisha.Ndiyo maana baadhi hufanikiwa kuwaumiza wengine kisaikolojia sababu ni huo utata wa kitu mapenzi.Hivyo, mnaojidai eti mapenzi ni kwa mmoja, au wale mnaosema mapenzi yanagawanyika, mnapoteza muda tu.Hakuna majibu, kila mmoja anaenjoy au anateseka kivyake, hakuna kanuni.

Hapo kila upande utatoa mifano dhahiri kuthibitisha na hapo ndipo tutakubali tofauti binafsi.Na ndiyo maisha.

Ngoja nikune kende zangu huku niiendelea kuwacheki tu.
 
Kuna kupenda kimwili, kuna kupenda kiakili na kuna kupenda kiroho.
Once you find your soulmate unakuwa umetimiza haja zote. Ukiona unahangaika sana jua kuwa haujafikia soul level upo katika lower levels. Leo utavutiwa na huyu kutokana na shepu lake kesho na yule kwa akili zake nk
Train yourself kuifikia roho yako na mahangaiko mengi yatakupita
 
Hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja, ukiona mwanaume ana mwanamke mmoja pekee ujue mgonjwa au uchumi unakataa lakini akizipata ndo utamtambua vizuri.Narudia tena hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja
We kweli mgegedo
 
katika kiingereza kuna maneno kama like na love....sasa kulove mara zote kuko kwa mtu mmoja tu ila kulike kuko kwa watu wengi.....mana love ni kuwa na strong feeling lakini like ni kuwa na normal feeling...kiufupi kulove ni kwa mmoja tu ....na ndio maana hata jf au fb kunakulike comment na si kulove comment

tukirudi kwenye mada inawezekana kwa 100%
 
Mada haijauliza useme inawezeka au haiwezekani kihewani hewani tu....imekuuliza wewe unaweza?

Mtoa mada anajua yote hayo uliyoyaeleza.

Na nimetoa mfano wa mtu aliyesema yeye hawezi kupenda kupenda mwanamke mmoja.

kama maana ya kupenda ni hiyo uliyojaribu kuieleza kuna wanaoweza kuyafanya kwa wanawake zaidi ya wawili....Je watakuwa hawawapendi!
 
sawa mkuu yes i can
 
Back
Top Bottom