chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,652
- 2,146
Inawezkana na ndo maan,kuna kuoa jameni
Unaweza kuwa na mwanamke mmoja ukadumu nae bila kuwa na wa pili au tatu.Mimi sijawahi penda mwanamke yoyote hadi sasa au mimi ndo sijui maana ya kupenda. Kwani kupenda ni nini?? tujuzane
Kwa hiyo kila binadamu kafungwa kumpenda mmoja tu mzee baba?
Kwa hiyo hawa mabilionea tunaowasikia na kuwaona wote wana wake wengi !
Naanza kuelewa somo.
Oouh sawa sawa...Topic ya kupenda pana sana swahiba. Unaweza kuwapenda wanawake wengi tu na usifanye nao chochote.
Suala la kuamua kuhusiana na watu wengi ni maamuzi tu. Kuna kumpenda mtu, kuvutiwa nae, kumtamani n.k maamuzi bado yanabaki kwako uchukue hatua gani.
Mie nimejibu kwa mujib wa kichwa cha habari. Badala ya kusema mwanaume hawezi kupenda mwanamke mmoja, ungesema hawezi kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja. Kumpenda mtu hailazimishi kuwa na mahusiano ya ziada.
Kila siku nasema unapoamua kuoa, sio kwamba mke wako ni mzuri kuliko wengine hapana, umeamua tu na mmekubaliana kwamba mtaishi pamoja, haimaanishi hautaona wanawake wengine wazuri kuliko mkeo, watakuwepo, wengi tu!
Lakini unaamua kuchukua hatua gani kutokana na hiyo hali ni maamuzi ya kila mmoja na yanatofautiana.
Nimewaza mzee baba akiwa kama wiz kidKwanini mzee mama?

Kila kitu hakiwezekani.... Sio kila kitu kinawezekana.
Vipi wewe utakubali kama wanavyokubali wachuchu wa Wizkid?
Wewe ni bilionea mzee baba! tupe uzoefu wako mabilionea mnakuwa na wake wangapi?
Oouh sawa sawa...
Nilijua umemsoma Wizkid..
Yeye anasema wanaume wa kiafrika hatujaumbiwa kuwa/kumpenda mwanamke mmoja.
Yeye kwake hawezi kuwa/kumpenda mwanamke mmoja.
Je, kwako wewe unamuunga mkono ndivyo tulivyo au ni yeye tu ndiye yuko hivyo?
Unaweza kuwa na mwanamke mmoja ukadumu nae bila kuwa na wa pili au tatu.
-Huyu jamaa yeye anadai hawezi kuwa na mwanamke mmoja.
Mwanamke?Tehteh.. hupendi mwanamke wa hivyo?
Ila Tiwa ni kazuri, right?

