Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,269
- 1,269
Mdada alipojifungua alimtaarifu mama mkwe kuwa kajifungua baby boy, akampa hongera kisha akakata simu. Toka siku iyo mama mkwe has never asked anything about that little boy as if he doesnt exist huu mwaka wa 3 hamjui mtoto, na last year christmas walienda mkoa kusalimia ila walipofika home hawakumkuta mama mkwe alikuwa amesafiri. Baadae anapata habari kuwa mama mkwe alikasirika kwa nini hakupewa taarifa kuhusu habari za ujauzito anakuja kuambiwa wakati mtoto kazaliwa? Je, ni kweli mdada kafanya vibaya? Huyo ni mtoto wa 3, hawa wawili alishakuja na kumkuta mdada mjamzito ila huyu wa mwisho ndo ivyo tena.