Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
karibu mtani wangu,
Jaman karibu dia
nakuuliza tena reply ina maana gani?
watu8 kuna mgeni huku uje umueleweshe maana hata kureply hajui.
Anabaki kujiongelesha tu.
Hehehehe nakubaliana na ww kabisa hao wanaojifanya marafiki wanagegedanaHakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume tena huyo ambae inaonekana hajaolewa ni balaa tupu
Tatizo ubaguzi mwingi ngoja waliotimiza vigezo waje
Hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume tena huyo ambae inaonekana hajaolewa ni balaa tupu
mbona waja kasi from cc to huku? usiogope Lady doctor lies beyond your reach.we mndengereko wewe umefuata nini hapa?
Not lyk that dia. Hao wameniumizia maisha yng
mbona waja kasi from cc to huku? usiogope Lady doctor lies beyond your reach.
niPM I am pushing 60 with tons of ngawira,ready kukupa raha uzunguke dunia mpaka uchoke mwenyewe,mishopping ya kufa mtu!
Not lyk that wangu. Hakuna mweny shda na ngono hapa. Just kubadilshana mawazo