Can u be my best friend??!!

Can u be my best friend??!!

Njoo huku ukumbini, #PM tulonge vijineno vya kumoyo.
 
Not lyk that dia. Hao wameniumizia maisha yng
We inaonekana unatafuta mtu wa kukudo sababu hao watatu wamekuumizia maisha yako kivipi? Nakushauri uwe makini utatoka hapa umeyapoteza hata hayo maisha.
 
nakuuliza tena reply ina maana gani?
watu8 kuna mgeni huku uje umueleweshe maana hata kureply hajui.
Anabaki kujiongelesha tu.

Hivi ndio unavyokarimu wageni nyumbani kwako?
 
Last edited by a moderator:
Hivi ndio unavyokarimu wageni nyumbani kwako?

kwani alipiga hodi?
Na hili si jukwaa la utambulisho.
Namshangaa kwanza kaweza kujiunga na kupost thread ila kumquote mtu/kumreply hajui
 
Hi guyz, an a gal aged25 nyamwez frm Tabora Tanzania. Am searchng for a friend frm any place bt aged frm28-60. Any tribe bt not makonde, mwera, yao. U are warmly welcome.

We ni mbaguzi sana..:heh:
 
Nimecheka mpaka watu wananishangaa

"To know the enemy is half the victory"

au unaonaje mwenzetu?
Mi naona anajiongelesha tu haikulikani ana mjibu nani
 
Back
Top Bottom