Innocenthezron
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 393
- 469
Wakuu nauliza je hzi window defender za window eight na ten naweza kuzitegemea katika ulinzi wa pc yangu?
Matumizi yangu ni mtandaoni kidogo sio sana maana hata nikiingia ni saa moja na webs mara nyingi ni youtube na ku google vitu. Labda na flash kuhamisha vitu kwa matumizi hayo naweza kutegema hizi window defender?
Na vipi window seven defender yake ni reliable pia??
Cc chief mkwawa