Can A Husband Forgive Wife Caught In Adultery??

Sorry konakali nimekosea kwa kuanza mama pekee nilitakiwa kusema huyu mama ..ni jirani tu
Okay, kidogo nianze kilio .....!

kwani unamsamehe wakati jamaa likiwa bado juu linagugumia, acha roho ngumu ,mbona tunaoa wanawake waliokwisha zaa tayari au walioachika, c nao midume ilikuwa inagugumia, ukiweka akili ya kusahau yaliyopita na kuganga yajayo mambo yote yanawezekena,
Tambueni wanaJF adhabu iliyokali kuliko zote ni upendo kwa aliyekukosea, waswahili wanasema ADUI MPENDE.........................................
Lazima Mungu akuongoze ili haya yawezekane......!
 
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
huh.gif
With all sincerity i doubt if any man can...

Kutokana na mfumo dume uliotawala jamii yetu, inakuwa ni vigumu sana mwanamme kumsamehe mkewe, ingawa wapo wanaume wachache ambao huwasemehe wake zao.
Hata hivyo inategemea na mazingira ya tukio lenyewe na uchaji mungu wa wanandoa husika.
SWALI KWA WANANDOA: KWA NINI UFUMANIWE WAKATI WEE UMEO AU UMEOLEWA?????
 
Okay, kidogo nianze kilio .....!

Pole sana rafiki

Lazima Mungu akuongoze ili haya yawezekane......!

Ni kweli hapa panatakiwa uwezo wa Roho mtakatifu na kufunga novena kwanza kabla ya kutoa maamuzi maagumu na mazito kama haya
 
Wakati naoa nilijiuliza nioe mtu au nioe malaika. Nilitamani nioe malaika lakini nikashindwa, nikaamua nioe binadamu. Sasa infidelity wanafanya nani, kama sio binadamu. Akicheat, nitamsanehe tu kwa sababu yeye ni binadamu. Ila angekuwa malaika nisingemsamehe kamwe...

Hayo ya akicheat utamsamehe tu yaseme hapa hapa JF na ombea naye asiwepo maana akikusikia anaweza kutafsiri kuwa ndo umempa green light.

Na hadi uchitiwe mara ngapi ndo utakoma kusamehe? Au wewe utakuwa samehe samehe tu kila itokeapo?
 
I am adamant when it comes to infidelity. Therefore there is absolutely no way that I would forgive. It's one and done. That's it and that's that.

Exercise yourself to believe in flexibility of rules and principles that you have established in ur way of living, not all times we apply them strictly bt they have to change basing on circumstances and situations.
 
Kutokana na mfumo dume uliotawala jamii yetu, inakuwa ni vigumu sana mwanamme kumsamehe mkewe, ingawa wapo wanaume wachache ambao huwasemehe wake zao.
Hata hivyo inategemea na mazingira ya tukio lenyewe na uchaji mungu wa wanandoa husika.
SWALI KWA WANANDOA: KWA NINI UFUMANIWE WAKATI WEE UMEO AU UMEOLEWA?????

Nimeipenda signatory yako
 
Hayo ya akicheat utamsamehe tu yaseme hapa hapa JF na ombea naye asiwepo maana akikusikia anaweza kutafsiri kuwa ndo umempa green light.

Na hadi uchitiwe mara ngapi ndo utakoma kusamehe? Au wewe utakuwa samehe samehe tu kila itokeapo?

umemkoti shakespear lakini haufati alichokueleza,
 
Exercise yourself to believe in flexibility of rules and principles that you have established in ur way of living, not all times we apply them strictly bt they have to change basing on circumstances and situations.

That's applicable only in other facets of life except matters of the heart. Once a cheater, always will be a cheater.
 
I am adamant hasa kwenye haya mambo, aisee hapo no question mama mkwe i just can't
 
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
huh.gif
With all sincerity i doubt if any man can...

....pheeewww! haya mambo ukijiwekea 100% matokeo yake ndio kama haya!
 
Hya mambo tunayaongelea juu juu tu kwa vile kuna baadhi hayajawatokea siku yakikutokea utakuwa in a worse situation na ukiwa una imagine jinsi jamaa alivyokuwa anajisevia mkeo sidhani hapo kama utakuwa na moyo wa huruma lets be honest guys
 
That's applicable only in other facets of life except matters of the heart. Once a cheater, always will be a cheater.
Wait until the situation happen on your share....! There you will know how these things happen....! Otherwise, pray a lot so that you will never appreciate these things....! Because in this world, nobody not a cheater and no one never cheated....!
 
Huyo mama amsimulie mzee jinsi game lilivyokuwa zuri, mzee ataelewa. Hivi mbona kina baba wanagonga gonga tu. Mama kugongwa ndio issue!!
What a fair world!
 
Kutokana na mfumo dume uliotawala jamii yetu, inakuwa ni vigumu sana mwanamme kumsamehe mkewe, ingawa wapo wanaume wachache ambao huwasemehe wake zao.
Hata hivyo inategemea na mazingira ya tukio lenyewe na uchaji mungu wa wanandoa husika.
SWALI KWA WANANDOA: KWA NINI UFUMANIWE WAKATI WEE UMEO AU UMEOLEWA?????

Ajari za kidunia ndugu yangu.Kama ile iliyomkuta Lowasa na Richmond
 
Wait until the situation happen on your share....! There you will know how these things happen....! Otherwise, pray a lot so that you will never appreciate these things....! Because in this world, nobody not a cheater and no one never cheated....!

How many times do you have to get cheated on before you say enough is enough.....?
 
Imagine.....! ila kuna watu wana mioyo ya kusamehe utashangaa mwenyewe!
But the pain that comes frrom cheating jamani it doesnt matter whether its a man or woman,
It completely unforgivable....:mad2:
Thou I would say....God please forgive all those who cheat....
"For only him can do that!!"
 
Wakati naoa nilijiuliza nioe mtu au nioe malaika. Nilitamani nioe malaika lakini nikashindwa, nikaamua nioe binadamu. Sasa infidelity wanafanya nani, kama sio binadamu. Akicheat, nitamsanehe tu kwa sababu yeye ni binadamu. Ila angekuwa malaika nisingemsamehe kamwe...
angekuwa mwendawazimu vpi ungemsamehe?
 
kusamehe ni hatua ya kukubari kuumia ili kuishi na furaha moyoni mwako na kusahau kumbukumbu mbaya
kwa faida ya roho yako maana ni lipi lililo jepesi,..... kutosamehe uishi na kumbukumbu ziutesao moyo wako na kukuosesha amani?
ama, usamehe uruhusu furaha moyoni mwako?
 
Back
Top Bottom