EricsenMatuidi
New Member
- Aug 14, 2019
- 0
- 1
Hili jibu umejibu kiushushu kabisa.Poa inawezekana kweli kwani mimi simjui zaidi ya kumuona kwenye hiyo picha
Hili jibu umejibu kiushushu kabisa.Poa inawezekana kweli kwani mimi simjui zaidi ya kumuona kwenye hiyo picha
Fanya kazi wewe myebusi acha porojoMkuu mshana hii mada ilinipitaje Jamani? Ebu agizia chochote nitalipia
Nimeshajua unaishi Boston mascachuttess. Utakuwa labda mpare wewe maanake huko Boston ndio kwaoFanya kazi wewe myebusi acha porojo
Teh ... 😆Nimeshajua unaishi Boston mascachuttess. Utakuwa labda mpare wewe maanake huko Boston ndio kwao
Jamaaa anaharibu kabisa, kuna mbinu nyingine zinakuja acha akaririUmefanya kosa sana kuleta vitu kama hivi humu uwe una meza mate kidogo sio vyote vya kusema humu
Unataka kuharibu ! Ukitoa siri utakuwa umeisaliti taifa lakoCamouflage na informers wapo wengi sana...
Haswa wengine utawakuta maeneo ambayo kwa hali ya kawaida mtu hawezi kuthubutu kuweka bishara ya kuuza vipipi na karanga eneo hilo...
Ningeyataja hayo maneno ila wacha niake kimya...
Cc: mahondaw
Maswali ya msingi ya kujiuliza ...
1. Utawajuaje?
2. Wapi huchukua hayo mafunzo?
Nikipata majibu ya hayo maswali nitaongeza mengine ..
Nimeuliza maswali haya kwa sababu zifuatazo ...
Ninapoishi kuna ofisa mmoja .. nilimpa habari za uhakika .. akabeza na kuniuliza kuwa nimepataje taaarifa muhimu kama hizo kabla yake .. nilimjibu apige simu kwa yeyote aliyeko kwenye kituo chake cha kazi ili apate uhakika. Kabla hajapiga nilimeongezea habari kuwamuda mfupi gari litapitisha wahusika wakipelekwa panapohusika.
Alipopiga simu aliambiwa kuwa habari ni za kweli ...
Mpaka leo huwa hataki tukae sehemu moja, nikiingia sehemu alipo lazima yeye atoke. Akinikuta sehemu atasalimia na kuondoka tu.
Hisia zangu zinanituma kuwa nahisi mimi ni aina ya hao watu wakati mimi siko kabisa kwenye kazi za ajabu-ajabu kama hizo.
Macho na masikio kwako wewe ulosoma hii chango yangu.
Hawa nimekutana nao nikiwa chuo. Tena ndio wengi.
Huwa mara nyingi wanakuwa vimbele front kwenye migomo na haki za wanafunzi.. ila wanapotea na kuonekana vipindi vya mitihani tu.
Mmoja wao ninzao namba zake mpaka leo.
Kwenye jumuiya za kanisa katoliki wamejaaa baraaaOgopa sana enzi zile wanaitwa mabalozi wa nyumba 10, hawa walikuwa informer na watoto wao wengi wamerithi kazi za baba zao.
Bora wanao kuja kwa habari njema sikuhizi hizi NGOs ndo malengo yao mi nilishangaa watu ni wageni wanajua Tanzania in details had makabila, hafu wanajifanya kutoa misaada, ndo nikajua Africa u maskini wetu hautakaa uishe wenzetu wanatumia ujasusi kuendekea kutukandamiza, na kutusoma madhaifu yetu then tunabaki tukishang'aa sharubu
Ili ufanyie nn.Naziomba hizo namba.
Gold head attract gold things,and it is inborn not experienced. Tunawahitaji watu wa namna hii kuweza kutufungulia njia ili binadamu tujue tuendako nasio watu wakuchezewa hata kidogo kila taifa linawahitaji. (Hongera kwa mada tulivu).Aliye sahihi
Gold head attract gold things,and it is inborn not experienced. Tunawahitaji watu wa namna hii kuweza kutufungulia njia ili binadamu tujue tuendako nasio watu wakuchezewa hata kidogo kila taifa linawahitaji. (Hongera kwa mada tulivu).
Powerful!Gold head attract gold things,and it is inborn not experienced. Tunawahitaji watu wa namna hii kuweza kutufungulia njia ili binadamu tujue tuendako nasio watu wakuchezewa hata kidogo kila taifa linawahitaji. (Hongera kwa mada tulivu).