Camouflagers na informers

Unampa taarifa ulijuaje ndio kazi yake? Hata yeye ndio maana hakupenda kukubalia livee. Coz kazi zao hazifanywi kama ulivyofanya wewe.
Maswali ya msingi ya kujiuliza ...
1. Utawajuaje?

2. Wapi huchukua hayo mafunzo?

Nikipata majibu ya hayo maswali nitaongeza mengine ..
Nimeuliza maswali haya kwa sababu zifuatazo ...
Ninapoishi kuna ofisa mmoja .. nilimpa habari za uhakika .. akabeza na kuniuliza kuwa nimepataje taaarifa muhimu kama hizo kabla yake .. nilimjibu apige simu kwa yeyote aliyeko kwenye kituo chake cha kazi ili apate uhakika. Kabla hajapiga nilimeongezea habari kuwamuda mfupi gari litapitisha wahusika wakipelekwa panapohusika.
Alipopiga simu aliambiwa kuwa habari ni za kweli ...
Mpaka leo huwa hataki tukae sehemu moja, nikiingia sehemu alipo lazima yeye atoke. Akinikuta sehemu atasalimia na kuondoka tu.
Hisia zangu zinanituma kuwa nahisi mimi ni aina ya hao watu wakati mimi siko kabisa kwenye kazi za ajabu-ajabu kama hizo.
Macho na masikio kwako wewe ulosoma hii chango yangu.
 
Well said ,
Bora wanao kuja kwa habari njema sikuhizi hizi NGOs ndo malengo yao mi nilishangaa watu ni wageni wanajua Tanzania in details had makabila, hafu wanajifanya kutoa misaada, ndo nikajua Africa u maskini wetu hautakaa uishe wenzetu wanatumia ujasusi kuendekea kutukandamiza, na kutusoma madhaifu yetu then tunabaki tukishang'aa sharubu
 
Back
Top Bottom