Camouflagers na informers

Kama ni wanaridhaa(amateurs) wataacha alama ila kama ni wajuzi (professionals) kutrace alama zao ni kazi moja kubwa sana

Jr

Ndio maana nikaweka kipengere cha pili kwamba kutambua/kugundua hizo alama itategemea sana ubobevu, taaluma, na uzoefu wa hao wafuatiliaji wa alama.

Tukirudi kwenye mada, hata humu jamvini ni kuwa makini tu. Iwe mtaani au popote pale.
 
Nimeshakutana nao wawili maeneo tofauti mmoja alikua anajifanya mfanyabiashara wa sokoni kariakoo ila work field yake ilikua Mwananyamala aliwaingizaga jamaa kwenye 18 watu wa arm robery.

Mwingine nilikutana nae chuo alikua anajifanya mwanafunzi siku moja nikamkuta ndani ya Ashok zile km noa nilishikwa na butwaa. Kiukweli hawa jamaa wana akili nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nikaweka kipengere cha pili kwamba kutambua/kugundua hizo alama itategemea sana ubobevu, taaluma, na uzoefu wa hao wafuatiliaji wa alama.

Tukirudi kwenye mada, hata humu jamvini ni kuwa makini tu. Iwe mtaani au popote pale.
Kwa kweli
 
Back
Top Bottom