Calendar ya 1985 ni kama ya 2019 siku zake!Ooh hapo nimeelewa shukran
Kwenye huo unaouiita ujinga ujinga, ndiyo huwa kuna siri za mambo makubwa yamejificha humo! Mambo makubwa huwa hayajifichi kwenye mambo makubwa, huwa yanajifificha kwenye vitu vya kijinga kijinga ili akili kubwa itumike kuweza kuyaona!. Kwa mfano, kuna real story ya jamaa mmoja aliwahi kufukua maiti halafu akaenda akaichoma kwenye gari lake, ili ionekeane kuwa amepata ajali yeye mwenyewe akiwa anaendesha gari, ili mke wake alipwe LIFE INSURANCE, hatimaye yeye akawa amebadilisha identity baada ya muda, ikaonekana ni mchumba mpya wa yule mwanamke aliyepoteza mme wake kwa ajali ya gari,..., ili wale bata vizuri! Kumbe polisi walishauona mchoro kwenye scene ya ajali kwa vitu viwili vidogo tu, cha kwanza "there was no skidding marks on the road" ambazo zingethibitisha kuwa ilikuwa ajali iliyopelekea gari kuungua, na cha pili, dereva akipata ajali akaungua ndani ya gari alilokuwa akiendesha, kiti cha dereva huwa hakiteketei chote. Kwa case ya huyu jamaa kwa sababu alienda akafukua maiti ya miezi kadhaa na kuiweka kwenye gari ahalafu akaitia kiberiti, kiti cha dereva kilikuwa kimetekea chote! Mambo makubwa huwa hayajifichi kwenye vitu vikubwa sana, in most cases!
ngoja niangalie kwenye sim kama zinaendanaCalendar ya 1985 ni kama ya 2019 siku zake!
Sasa nimekuelewa ... Sasa maelezo ya kwanza ni upuuzi mtupuKwa watu waliosoma IT, kuna kitu kinaitwa PATTERN RECOGNITION.. The more your intellect is alert to pattern recognition scenarios, the more your brain is more naturally aware to events happening to you in your daily life. Ina application yake kubwa tu katika maisha
Soma hapa pia
Palindrome - Wikipedia
Happy palindrome day 8-10-2018. - JamiiForums
List of palindromic places - Wikipedia
cc: Jane Lowassa
Ujambazi unaanzaga hivyo,...unataka ujue then after?Mngekuja na namna ya mchanganuo wa ku`crack codes za how unaweza kujitengenezea vocha mwwenyewe,mngekuwa mmefanya la maana sana,always najiuliza ni machanism gani imetumika kutengeneza vocha hadi watu washindwe kukisia tarakimu sahihi?
Unatuchosha bana tuna subiri Airbus bombadie boeng mkuu hajalala juzi kwa ajili ya kufanya mawasiliano halafu ww unaleta namba namba hapa
Haina tofauti na Mwaka 2018Siku zifuatazo kwa mwaka huu, zote tarehe zake zimeundwa na tarakimu ya 0, 1, 2 na 9. Nazo ni:
1. KWA JANUARY peke yake tu ni siku 11 nazo ni:
tarehe 01/01/2019,02/01/2019, 09/01/2019 (jana), 10/01/2019 (leo), 11/01/2019 (kesho), 12/01/2019 (kesho kutwa), 19/01/2019, 20/01/2019,21/01/2019, 22/01/2019, 29/01/2019
2. KWA FEBRUARY vile vile ni siku 11 nazo ni:
tarehe 01/02/2019,02/02/2019, 09/02/2019, 10/02/2019, 11/02/2019, 12/02/2019, 19/02/2019, 20/02/2019,21/02/2019, 22/02/2019, 29/01/2019
2. KWA SEPTEMBER vile vile pia ni siku 11 nazo ni:
tarehe 01/09/2019,02/09/2019, 09/09/2019, 10/09/2019, 11/09/2019, 12/09/2019, 19/09/2019, 20/09/2019,21/09/2019, 22/09/2019, 29/09/2019.
Kwa hiyo kwa mwaka huu kuna siku 33 ambazo tarehe zake zimeundwa na tarkimu 0, 1. 2 na 9
Naomba kama kuna mtu ana rekodi kubwa zaidi ya hii atuwekee hapa!
Mbarikiwe tena
U are right.vilevile kuna hesabu za probability. Mfano jumla ya digits ktkt vicha let say zipo 14 na namba zinaanzia 0 mpaka 9,hivyo probability ya wewe kukisia vocha itakua 1/ 14 power10 ambayo trial zako utachukua masaa mengi kukisia vocha moja.Watu hawashindwi kuingiza vocha ya wizi kwenye simu. Ni kwamba vocha ya wizi imezuiwa na ma-ISP kwa ku-limit the number of trials za kuingiza vocha. Wakiondoa hiyo, watu wengi sana wanaweza kujaza vocha za bure kwenye simu. Vile vile huwezi ku-crack codes zao bila kuwa ume-hack system yao kwanza. Unless you hack their systems, it will then be possible for you to crack their codes. By the way, are you prepared and happy to become a criminal?
😂😂😂 ila Anko Magu kiboko daah hadi watu wanahesabu tarehe zilizofanana kwenye kalenda si mchezo nusu uchizi huu
Haina tofauti na Mwaka 2018
January. 01/01/2018, 02/01/2018, 08/01/2018, 10/012018, 11/01/2018, 12/01/2018, 18/01,2018. 20/01/2018, 21/01/2018. 22/01/2018, 28/01/2018. Na miezi minhine utafanya kwa mfuatano huo.
Kwahiyo hakuna cha ajabu. Miaka yote inasiku kumi na moja za kufanana kwa kigezo ulichotumia
Sent using Jamii Forums mobile app