Angalieni mpangilio wa tarehe hizi zenye jumla ya siku 33 ndani ya mwaka huu 2019

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,442
6,931
Siku zifuatazo kwa mwaka huu, zote tarehe zake zimeundwa na tarakimu ya 0, 1, 2 na 9. Nazo ni:

1. KWA JANUARY peke yake tu ni siku 11 nazo ni:
tarehe 01-01-2019,02-01-2019, 09-01-2019 (jana), 10-01-2019 (leo), 11-01-2019 (kesho), 12-01-2019 (kesho kutwa), 19-01-2019, 20-01-2019,21-01-2019, 22-01-2019, 29-01-2019

2. KWA FEBRUARY vile vile ni siku 11 nazo ni:
tarehe 01-02-2019,02-02-2019, 09-02-2019, 10-02-2019, 11-02-2019, 12-02-2019, 19-02-2019, 20-02-2019,21-02-2019, 22-02-2019, 29-01-2019

2. KWA SEPTEMBER vile vile pia ni siku 11 nazo ni:
tarehe 01-09-2019,02-09-2019, 09-09-2019, 10-09-2019, 11-09-2019, 12-09-2019, 19-09-2019, 20-09-2019,21-09-2019, 22-09-2019, 29-09-2019.

Kwa hiyo kwa mwaka huu kuna siku 33 ambazo tarehe zake zimeundwa na tarkimu 0, 1. 2 na 9
Naomba kama kuna mtu ana rekodi kubwa zaidi ya hii atuwekee hapa!

Mbarikiwe tena
 
Kwa ufupi ni kwamba, unatafuta tarehe ambazo zinatengenezwa na namba za mwaka husika, kwa nilivyoelewa mimi lakini.

Mfano 2019 kuna 01/01/2019
Inamaana 2018 unaangalia ni siku zipi tarehe zake zinatengenezwa na namba zilizopo kwenye 2018.

Kitu ambacho sijakielewa, inaumuhimu au inasaidia nini?
 
Kwa watu waliosoma IT, kuna kitu kinaitwa PATTERN RECOGNITION.. The more your intellect is alert to pattern recognition scenarios, the more your brain is more naturally aware to events happening to you in your daily life. Ina application yake kubwa tu katika maisha

Soma hapa pia

Palindrome - Wikipedia

Happy palindrome day 8-10-2018. - JamiiForums

List of palindromic places - Wikipedia

cc: Jane Lowassa
 
Kwa watu waliosoma IT, kuna kitu kinaitwa PATTERN RECOGNITION.. The more your intellect is alert to pattern recognition scenarios, the more your brain is more naturally aware to events happening to you in your daily life. Ina application yake kubwa tu katika maisha

Soma hapa pia

Palindrome - Wikipedia

Happy palindrome day 8-10-2018. - JamiiForums

cc: Jane Lowassa

Nakuelewa sana, mara nyingi naweza kwenda mahali nikifika nataka nijue kuna madirisha mangapi, nguzo ngapi, kwanini kuna mpangilio wa meza wa aina flani.

Naweza kuwa barabarani najiuliza kati ya magari kumi, kuna kampuni au aina zipi za magari zitapita? Vitu vya kijinga kijinga kama hivyo ambavyo kuna wakati vinanisaidia kwenye kufuatilia mambo ya muhimu.

Siwezi kuandika hapa lakini niligundua jambo moja kwa kutumia mtindo huu huu, jambo lenyewe lilihusisha kituo cha polisi Oyster bay.
 
Kwenye huo unaouiita ujinga ujinga, ndiyo huwa kuna siri za mambo makubwa yamejificha humo! Mambo makubwa huwa hayajifichi kwenye mambo makubwa, huwa yanajifificha kwenye vitu vya kijinga kijinga ili akili kubwa itumike kuweza kuyaona!. Kwa mfano, kuna real story ya jamaa mmoja aliwahi kufukua maiti halafu akaenda akaichoma kwenye gari lake, ili ionekeane kuwa amepata ajali yeye mwenyewe akiwa anaendesha gari, ili mke wake alipwe LIFE INSURANCE, hatimaye yeye akawa amebadilisha identity baada ya muda, ikaonekana ni mchumba mpya wa yule mwanamke aliyepoteza mme wake kwa ajali ya gari,..., ili wale bata vizuri! Kumbe polisi walishauona mchoro kwenye scene ya ajali kwa vitu viwili vidogo tu, cha kwanza "there were no skidding marks on the road" ambazo zingethibitisha kuwa ilikuwa ajali iliyopelekea gari kuungua, na cha pili, dereva akipata ajali akaungua ndani ya gari alilokuwa akiendesha, kiti cha dereva huwa hakiteketei chote. Kwa case ya huyu jamaa kwa sababu alienda akafukua maiti ya miezi kadhaa na kuiweka kwenye gari ahalafu akaitia kiberiti, kiti cha dereva kilikuwa kimetekea chote! Mambo makubwa huwa hayajifichi kwenye vitu vikubwa sana, in most cases!
 
Back
Top Bottom