Camera za Azam-Tv kwenye mikutano ya kampeni

Camera za Azam-Tv kwenye mikutano ya kampeni

Hayo sawa...
Je; unaweza kutuambia ni kwa nini TBCCM inashindwa hadi na Azam ya Bakhresa....??

TBC wanazo muda mrefu tu hata kwenye miaka 50 ya uhuru zilikuwepo uwanja wa taifa
 
Unaishangaa TBC kukosa drones camera, mi nilitegemea ushangae CHADEMA wanaolipwa zaidi ya mil 250 kwa mwezi ndani ya miaka mitano hawana office wamepanga tu kwenye kibanda cha choo tu pale UFIPA
kile kibanda unaweza kukuta kina uhusiano na kiongozi wa chadema ndio maana hawafikirii kujenga ofisi
 
Kumbe ni drone camera na niza azam tv!!!, tapeli moja la kisiasa lilisha wa aminisha waTz kuwa niza kiukawaukawa.

Heheheheee! Umenifurahisha saana, yaani umefanya ionekane kama zinauzwa billions of money! Wakati in real sense, kila mtanzania mwenye smartphone ya kuanzia Tshs 200,000 hata chini ya hapo anaweza kumiliki hicho ki RC Helicopter/Quadcopter drone chake mwenyewe. Hivi huwa ukisikia ebay unafikiri watu wanafanya nini kule?

Nimeamini 'Fear of the Unknown' inatutafuna Watanzania. Ndio maana Ndugu Lowassa ameamua kuweka Hotuba kwenye internet wenda tutajifunza kuitumia internet kujua habari za duniani. Watanzania tunamcheka mtu akinunua ki Vitz chake kwa milion sita, saba tunakiita baby walker, wakati tunamheshimu mtu wenye kikamera cha chini ya laki tatu (hapo nimeinflate USD:TZS exchange rate, maana you could actually get one for less than US$70 plus shipping).

Tutafute Elimu Elimu Elimu jamani, itakuweka huru Watanzania.
 
Unalenga kusema nini..? Nami naunganana kuuliza kwa kimombo ao what....?
 
ni remote-controlled. Zinapiga picha kotokea utosini(top viewed). Zina umbo la helkopta na zina ukubwa sawa na ndege kunguru na ndiyo maana ndege hao huzifuata wakifikiri ni kunguru wenzao.

Kwa wale amba pengine huwa mnabaki kushangaa na kuacha kufuatilia hotuba za wanasiasa na sera zao, nimeona niwahabarishe na ukitaka kuona namna vijana wa bakheresa wanavyofanya kazi, tembelea basi lao kubwa ambalo huwa liko eneo la tukio.

so what??
 
wewe bana unachekesha sana! zile ni drones ni za chadema! zimenunuliwa zaidi ya elfu 5• zingekuwa za Azam wangeshaanzaga kuzitumia toka kampeni za ccm zilipozinduliwa! zile ni drones za chadema/ukawa!
 
nasikia milioni 250 wanazopata chadema kama ruzuku ni kubwa kuliko kodi inayokusanywa na serikali ndiyo maana tbc imechoka.Mkuuusaidie ni ofisi ipi ya ccm ilijengwa na ccm.sasa hivi kwenye kampeni mnatumia magari ya serikali mnachofanya ni kubadirisha plate number pamoja na kuitawala nchi hii for 50 years.bahati tu Hamna aibu

Unaongea pumba!

ungeanza kuhoji shangingi la Kiongozi wa upinzani bungeni linafanyaga nini kwenye mikutano ya CHADEMA!?

kwa kuwa wewe ni nyumbu acha nikutie upofu kwa kukujibu kinyumbu

sasa unashangaa CCM kutumia gari za serikali kwani serikali ni ya chama gani kwa sasa!?

"vya kaisari mpe kaisari"
 
Drone cams in action, Tanzania Police wanaweza kuzitumia ktk matukio kama ya kuangaza wauza madawa ya kulevya, ujambazi hata matukio ya ugaidi when tipped au police pursuits barabarani.
Kwa polisi ya Tanzania zitaona vibaka na mama ntilie tu. Ujambazi, meno ya tembo na madawa ya kulevya zitakua zimeharibika lenzi.
 
Ofisi nyingi na viwanja vyote vya mpira wa miguu wanavyomiliki CCM vilijengwa na wananchi wote wakati wa chama kimoja kupitia michango na kuongeza bei za vitu kama vinywaji baridi, mafuta na bia ili kuchangia ujenzi wake.

unasema tu chama kimoja, chama kimoja chama gani.. mbona umalizii!?
vya kaisari mpe kaisari
 
Ndugu, ukota wenye uelewa finyu kwangu umegonga mwamba,

Ni ukweli usiopingika kwamba kila mtu alishuhudia chadema, wakisambaza elimu ya urai na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura kwa miaka mingi tu lakini ccm wakiponda Kodi za wananchi huku wakiutangazia umma watapiga bao la mkono huu ni upuuzi kabisa.

Chadema wamewekeza kwa muda mrefu kukijenga chama chao kila kijiji tena kwa muda mfupi sana wakipigwa mabomu na wengine kuuawa na jeshi la polisi ili kuwakatisha tamaa vijana wasijiunge upinzani lakini wao wamo na leo tunashuhudia matunda yao mpaka Lowassa na Sumaye wamejiunga upinzani.

Tunataka Tanganyika yetu iwe mvua liwe jua serikali 3 ni lazima.

kwenu nyinyi watu kupigwa mabomu kuvunjwa viuno na hata kupoteza uhai kwenye mikutano yenu ni sehemu ya uwekezaji wa chama!?

kweli nyie wapumbavu na malofa!
 
Ni Remote-controlled. Zinapiga picha kotokea utosini(Top viewed). Zina umbo la Helkopta na zina ukubwa sawa na ndege KUNGURU na ndiyo maana Ndege hao huzifuata wakifikiri ni Kunguru wenzao.

Kwa wale amba pengine huwa mnabaki kushangaa na kuacha kufuatilia hotuba za wanasiasa na sera zao, nimeona niwahabarishe na ukitaka kuona namna vijana wa Bakheresa wanavyofanya kazi, tembelea Basi lao kubwa ambalo huwa liko eneo la tukio.
Ushamba wako na unawaeleza. Kwani hizo kamera zinazokuwa attached kwenye ''drone'' ni kitu cha kushangaza sana. Mbona hata mimi nimeinunua, mwaka 2013, na nimeitumia sana!
 
Tbc kupata gari la kusasa la matangazk mpaka wachina watupe azam yeye ana haswa mpaka kujua vipya vilivyoko sokoni?ukweli ni kwamba exposer wanazopata viongozi nje ya nchi haziisaidii nchi kuna haja ya kufuta ziara nje ya nchi kama hatuendi jifunza bali ni kutalii

,ziara za kinakikwete hazina exposure as you said. Ingekuwa hivo Kikwete angeliiacha Tz ikiwa democratic country. Kumbuka ziara zake nyingi amezifanyia democratic countries e.g. USA, UK, AUSTRALIA, GERMAN, USWIS etc, lakini anaondoka bila kutuachia democrasia ya kweli.

Hatuna tume huru ya uchaguzi, hatuna katiba ya wananchi, ameshindwa kuitenganisha serikali na chama chake. Huko alikokuwa anatembelea kila wiki wanayo mambo hayo.
 
1. Ukome kumuita mwenyekiti wangu tapeli
2. Ni kwamba huelewi kiswahili au ubongo wako unashida?
3. Nashukuru kwa kufuatilia uzinduzi wetu

pole!uenyekiti wake unaishia pale chooni ufipa palipo na nyumbu watupu,ukitoka huku nje kwa watu wanayoyapima mambo huyo ni tapeli tu!
 
kwenu nyinyi watu kupigwa mabomu kuvunjwa viuno na hata kupoteza uhai kwenye mikutano yenu ni sehemu ya uwekezaji wa chama!?

kweli nyie wapumbavu na malofa!

Maandiko matakatifu kutoka kitabu cha MHUBIRI yanasema, " MHUBIRI 4:13 Heri kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu, ambaye hajui tena kupokea maonyo"
 
Maandiko matakatifu kutoka kitabu cha MHUBIRI yanasema, " MHUBIRI 4:13 Heri kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu, ambaye hajui tena kupokea maonyo"

mmefanya uwekezaji wa roho za watu kule Arusha,mmefanya uwekezaji wa damu ya mwangosi pale iringa tabora,
mwaka huu sijui mtawekeza roho za watu wapi!?
 

Attachments

  • 1440945759656.jpg
    1440945759656.jpg
    24.3 KB · Views: 129
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom