mbusage
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 447
- 123
Ni kweli kabisa,ofisi za chadema kule iringa zipo guest house ya Sambala.
Nini kinaendelea?
Basi watu wanatumia hiyo opportunity kuingia na michepuko kwa kisingizio cha kwenda kwenye harakati/ofisi za chadema kumbe wanaenda kugegedana.
Chanzo ni nini?
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika toka kwenye #msigwa ni kuwa chanzo cha wao kuweka ofisi guest ni ubadhirifu wa pesa za mauzo ya chama na ruzuku uliofanywa na "promota"
Kazz kweli kweli
Na mimi nikienda iringa likizo nitaenda sambala si pale jilani na #ffu au #highlandsec