kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,140
Weka picha wengine hatuzijui. Wanaokupiga madongo mapoyoyo hao.
Unaishangaa TBC kukosa drones camera, mi nilitegemea ushangae CHADEMA wanaolipwa zaidi ya mil 250 kwa mwezi ndani ya miaka mitano hawana office wamepanga tu kwenye kibanda cha choo tu pale UFIPA
nasikia milioni 250 wanazopata chadema kama ruzuku ni kubwa kuliko kodi inayokusanywa na serikali ndiyo maana tbc imechoka.Mkuuusaidie ni ofisi ipi ya ccm ilijengwa na ccm.sasa hivi kwenye kampeni mnatumia magari ya serikali mnachofanya ni kubadirisha plate number pamoja na kuitawala nchi hii for 50 years.bahati tu Hamna aibuUnaishangaa TBC kukosa drones camera, mi nilitegemea ushangae CHADEMA wanaolipwa zaidi ya mil 250 kwa mwezi ndani ya miaka mitano hawana office wamepanga tu kwenye kibanda cha choo tu pale UFIPA
Ofisi nyingi na viwanja vyote vya mpira wa miguu wanavyomiliki CCM vilijengwa na wananchi wote wakati wa chama kimoja kupitia michango na kuongeza bei za vitu kama vinywaji baridi, mafuta na bia ili kuchangia ujenzi wake.nasikia milioni 250 wanazopata chadema kama ruzuku ni kubwa kuliko kodi inayokusanywa na serikali ndiyo maana tbc imechoka.Mkuuusaidie ni ofisi ipi ya ccm ilijengwa na ccm.sasa hivi kwenye kampeni mnatumia magari ya serikali mnachofanya ni kubadirisha plate number pamoja na kuitawala nchi hii for 50 years.bahati tu Hamna aibu
Mapoyoyo sana na bado wanaona ni haki yao kukosa nyenzo hizo.
Tata madiba
Ni Remote-controlled. Zinapiga picha kotokea utosini(Top viewed). Zina umbo la Helkopta na zina ukubwa sawa na ndege KUNGURU na ndiyo maana Ndege hao huzifuata wakifikiri ni Kunguru wenzao. Kwa wale amba pengine huwa mnabaki kushangaa na kuacha kufuatilia hotuba za wanasiasa na sera zao, nimeona niwahabarishe na ukitaka kuona namna vijana wa Bakheresa wanavyofanya kazi, tembelea Basi lao kubwa ambalo huwa liko eneo la tukio.
Hiyo ni drone ya UKAWA kwani umeshaiona kwenye mikutano ya CCM?. si mnabakia kusema picha zinatengenezwa kwa komputa.Kumbe ni drone camera na niza azam tv!!!, tapeli moja la kisiasa lilisha wa aminisha waTz kuwa niza kiukawaukawa.
Unaishangaa TBC kukosa drones camera, mi nilitegemea ushangae CHADEMA wanaolipwa zaidi ya mil 250 kwa mwezi ndani ya miaka mitano hawana office wamepanga tu kwenye kibanda cha choo tu pale UFIPA
Kumbe ni drone camera na niza azam tv!!!, tapeli moja la kisiasa lilisha wa aminisha waTz kuwa niza kiukawaukawa.
Weka picha wengine hatuzijui. Wanaokupiga madongo mapoyoyo hao.
Wewe kweli bado poyoyo yaani hata hilo unashangaa hadi unafungulia thread kweli hauna kazi zaidi ya kujipendekeza lumumba.
swissme
Nalipendaga Sana Neno Hili La Kizungu " So What? ".
Huko Iringa ofisi za chadema ziko guest house