Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

Nishajaribu hivyo bila mafanikio kifupi ina mlolongo mrefu haf wenye TV ni rahisi kuiba wazo..wewe una kitu tofauti gani?
Najua ndo maana hata sijawafuata, nimeona niwe oa subra. Wazo langu naamini ni zuri linauzika
 
Napenda picha sana ila shida bei ya kununua camera au kwenda kwa hawa wapiga picha ni gharama nimeamua kuingia playstore na kudownload app mbadala wa hizo canon na camera zenye DSLR(kwa mbali)
Umetumia app gan playstore ikawa sawa na iyo camera
 
Attachments

  • Screenshot_20170810-170108.png
    Screenshot_20170810-170108.png
    71.1 KB · Views: 266
Tafuta canon 700D au 750D hio 700D Dec 2015 niliinunua 1,240,000 freedom communications samora bila risiti, ila mtaa huo huo wa samora karibu na askari monument niliona wanaziuza 1,389,000 sasa hivi navyo type kariakoo 700D wanauza 1,900,000 kariakoo, ila milioni 1-900,000 utazipata kama bado unahitaji
 
Asee zimepanda badala ya kushuka wakati technology inavyobadilika kwa haraka ilibidi zishuke bei
 
Eeeh kiongozi maana hio 2015 kariakoo ilikua ni 1,600,000

Lkn hiyo 700D inapiga mzigo vizuri ama?..mi nimezoea brand ya canon naona ipo friendly kwangu..japo nataka nianze kutafuta na nikon nione ubora wake pia
 
Za muda huu,

Mtoa mada na wengineo..!

Naomba nitoe ushauri kidogo juu ya hili bandiko; Vitu vya kuzingatia unapotafuta camera especially DSLR camera
1. Kwa kuanzia hakikisha camera unayonunua ina kianzio cha 16 Megapixel
2. Wekeza zaidi kwenye lens achana na kuhangaika kununua camera kubwa wakati unaanza business,uzuri wa DSLR camera ukitaka ku-advance basi unabadili tu Body maana lens utakuwa nazo
NOTE: Epuka kuanza na camera kubwa kama zilizotajwa na wadau hapo juu Eg. canon EOS 5D Mark 3,2 7D au Nikon D7100, D7200 ni aghali sana hivyo kama huna hela ya kutosha achana nazo, badala yake tafuta camera za kuanzia Eg Canon 1300,Canon 77D, Canon 80D, Canon 750D, Canon EOS 800D, Canon EOS 200D/300D, Canon EOS 700D
au Ukipenda Niko basi Nikon D3200, D3300 au D5600 (pia Nikon D3100 ila tafuta Prime Lens/ Lens Kubwa)

Hizo camera ambazo nimekutajia ni camera nzuri kwa kuanzia na bei zake si mbaya zingonga still na Video kiwango cha 1080p (yaan full HD. Kama una Link marekani Kuna Amazon wanauza hizo camera with full Package( Camera body,lens,wide angle lens, tripod, Flash and 32GB memory card. Kwa Amazon ivyo vitu unavipata betwen $350-400.

Ambapo ukinunua tanzania, huwa hupewi package ya namna hiyo, watakupa tu Camera peke yake tena wakati mwingine Bila Lens so cost ya kuanza kutafuta vitu vingine inakuwa Kubwa.

Personally mimi ni Mfanyakazi nimeajiriwa, ila nafanya business ya photographing and Videographing, nilianza na Nikon D300 for still na D3100 for Video, ni camera ndogo kiasi kwamba wakati mwingine wapiga picha wengine wakiona picha zangu wanashangaa nikiwaambia kuwa zimepigwa kwa Nikon D300, ila nimewekeza kwenye Lens kubwa baasi, tena huwa sifanyi Editing kabisa editing yangu ni from my camera setting tu baasi baada ya hapo nahamisha picha kwenye computer na kuzichambua na kupeleka studio kwa kusafisha, mambo ya Photoshop sijui huwa napiga kwa picha za advert tu (mitandao ya kijamii etc)

MTAZAMO wangu Camera kubwa sio ishu as long as camera ni dslr, una lens za kutosha 18mm-55 and 55-200, pixel from 16 na kuendelea nakuhakikishia utafanya kazi nzuri sana, kitu nilicho note kwa Wapiga picha wengi hawataki kuwekeza kwenye knowledge ya kazi yao, dslr zina setting nyingi sana kiasi kwamba ukiwa unatafuta elimu kuhusu matumizi ya hiyo camera yako unajikuta unafanya kazi nzuri hadi watu watashangaa.
 
Huu ni msaada mkubwa sana kwangu ,umeniongezea maarifa kweli kweli sasa ninampango wa kununua canon 650D ila ni used .Je,hili swala la used ni sawa?
 
Back
Top Bottom