Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

Recomended price ni Around 800,000, ni bei nzuri mkuu. Angalia tu upande wako uchakavu wake.
ahsante mkuu, hapo kwenye uchakavu ndo ishu maana inabidi mtu anitumie na mimi s4na uzoefu
Recomended price ni Around 800,000, ni bei nzuri mkuu. Angalia tu upande wako uchakavu wake.
Kwa price hiyo ni brand new??
Na si inashoot video fresh turkey,pia lens take ni 50mm.
 
ahsante mkuu, hapo kwenye uchakavu ndo ishu maana inabidi mtu anitumie na mimi s4na uzoefu

Kwa price hiyo ni brand new??
Na si inashoot video fresh turkey,pia lens take ni 50mm.
Ndio kwa mpya nje naona hapa around hio laki 8.

Mkuu hii inachukua video ila uwezo wake ni average, mwisho ni 1080p kwa 30fps, haina hata uwezo wa 60fps.

Lens Dslr si unabadili tu?

Turkey sijaelewa hapo mkuu
 
ok,turkey nilimaanisha tu. Hiki ki 4g cha voda tafrani tu. Kwenye kubadili lens unamaansha ubora wa video hutegemea lens pia
 
canon selphy1000 jamaa kanambia 250k
Bei sio mbaya mkuu na pia online reviews zake zipo vizuri. Sema wanairate kama home printer hivyo sijajua kama inaweza kuhimili mikiki mikiki ya kuprint picha nyingi kwa siku.

Pia fanyia utafiti gharama ya wino na makaratasi yake.
 
Ahsante mkuu,nimesoma review zake,picha zinaprint ukubwa wa 4'*6 nadhani ndo standard
 
budget muhimu, utashauriwa camera kumbe inauzwa milioni 10, wewe budget yako range ni ngapi?

pia kama hujui kabisa atleast kariri hili neno DSLR, fanya unavyofanya camera unayonunua hakikisha ni DSLR.
Chief ,kwa laki sita napata camera?
Na je printer ya Epson L382 in a print picha nzuri?
 
Chief ,kwa laki sita napata camera?
Na je printer ya Epson L382 in a print picha nzuri?
Mkuu inaonekana ni printer economy isiyo na gharama inayotumia wino wa chupa, inaprint page nyingi kwa wino kidogo na gharama ya wino pia sio kubwa atleast huko nje sijajua kwa hapa.

Na laki 6 unapata Dslr used, zimejaa kibao zoomTanzania na Kupatana, sema tu kuwa makini na matapeli, bila Physical adress usinunue.
 
Kama upo serious na hiyo kazi, una customers base njoo inbox nitakukabidhi vifaa vya kisasa ikiwemo canon new model ( 5D mark 3)..njoo na wazo tufanye kazi..sharti ni moja tu uje na idea ya namna gani tutapata pesa na idea iwe realistic
mkuu salama,,,naomba namba yako nikutafute tuzungumze
 
Back
Top Bottom