Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

snipa

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
4,175
Likes
210
Points
160
snipa

snipa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
4,175 210 160
Entrepreneur na mwanafunzi wa chuo kimoja Dar ninampango wa kununua camera kwa ajili ya kufanyia biashara ya upigaji picha kwa matukio kadhaa sitakua na studio kwa sababu biashara hii ni ndogo.

Nahitaji kufahamu camera ipi ni nzuri kwa mawazo yangu ninampango wa kununua cannon lakini sijajua cannon model gani ndo itakua suitable.
[HASHTAG]#msaada[/HASHTAG] tafadhali
a4663277d34f72b34e728849d4ab17c3.jpg
Wewe ni Photographer au Cameraman ?
 
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
2,682
Likes
7,166
Points
280
Age
28
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
2,682 7,166 280
mimi ni mmiliki wa photo studio mabibo hostel..

kama kweli unataka upige picha za kisasa.. wekeza kwenye lenz na lighting..

vitu kama speed lights, strobes ni muhimu sana kwa industry ya kisasa..

bila kusahau laptop au pc yenye processor nzuri na graphic card nzuri for photoshop skills.. youtube ni chuo kikuu kwako..

camera ya kuanzia na kushauri anza na nikon d5600 ama canon 700d..... canon ni nzuri sana kwa multipurpose .. yaani video na still picture... nikon ni nzuri sana for still picture ila video sio nzuri..

kama hela kwako sio tatizo.. canon 5d mark series ndio camera za kazi.. hata music video au harusi ya maana unapiga bila wasi wasi from 5d mark 1 to mark 4 zote hazibahatishi
 
tiazo

tiazo

Member
Joined
Jan 24, 2013
Messages
68
Likes
27
Points
25
tiazo

tiazo

Member
Joined Jan 24, 2013
68 27 25

Asante sana kaka kwa mchango wako natumaini utanifaa
Je,nikon 3300 itafaa kwa still pictures ?
 
Samahani mkuu unaweza kunipa namba zako ili unifahamishe mambo ya photostudio zaidi
 
tiazo

tiazo

Member
Joined
Jan 24, 2013
Messages
68
Likes
27
Points
25
tiazo

tiazo

Member
Joined Jan 24, 2013
68 27 25
Nipo hapa kariakoo bei ya camera nikon 3300 ni 1m bila ya vati...yan sipewi risiti hii itaniadhiri vp mm mnunuaji?
Msaada tafadhali
 
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
2,682
Likes
7,166
Points
280
Age
28
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
2,682 7,166 280
yes inafaa nikon 3300 inatoa picha nzuri tu shida haina wifi wala bluetooth hadi ununue adapter separate.. hii itakulazimu kila saa utoe memory card au kuunganisha waya ndio uhamishe picha kitu ambacho ni risk kwa dslr...

in studio tukiwa tunapiga picha mteja automatically inaonekana kwenye pc au LED TV iliyopo ukutani na mteja anaona pale pale kujua makosa ya mapozi yake au lighting hazipo sawa...

mi niko busy sana ni mmiliki tu.. na watakuchaji hela kukufundisha... njia rahisi ni youtube tu... ndipo tulipojifunza hata sisi... dunia ya kibepari hainaga cha bure...

wekeza muda wako kwenye youtube channels za kina adorama, jesca kobesi, na photographer wengineo utajua kila kitu

Asante sana kaka kwa mchango wako natumaini utanifaa
Je,nikon 3300 itafaa kwa still pictures ?
 
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
2,682
Likes
7,166
Points
280
Age
28
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
2,682 7,166 280
Nipo hapa kariakoo bei ya camera nikon 3300 ni 1m bila ya vati...yan sipewi risiti hii itaniadhiri vp mm mnunuaji?
Msaada tafadhali
bila risiti warrany yako maana yake itakuwa haina nguvu siku ukirudisha camera imezingua... maana serikali haitaweza kukulinda bila risiti yao

unaponunua camera usisahau prime lenz yenye wide apperture angalau 1.8.. kwa nikon d3300 lenzi utakayonunua hakikisha ni lazima iwe na autofocus.. pia speed light nayo usisahau yenye ittl na slave mode

kama manufacture wa prime lenz sio nikon.. hakikisha iwe na nikon f mount... ili iweze ingia kwenye camera ya nikon
 
Powder

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Messages
3,245
Likes
3,011
Points
280
Powder

Powder

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2016
3,245 3,011 280
Kama upo serious na hiyo kazi, una customers base njoo inbox nitakukabidhi vifaa vya kisasa ikiwemo canon new model ( 5D mark 3)..njoo na wazo tufanye kazi..sharti ni moja tu uje na idea ya namna gani tutapata pesa na idea iwe realistic
Mkuu! Una vifaa vya Video Production?
 
issawema

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Messages
778
Likes
535
Points
180
issawema

issawema

JF-Expert Member
Joined May 30, 2013
778 535 180
Nipo hapa kariakoo bei ya camera nikon 3300 ni 1m bila ya vati...yan sipewi risiti hii itaniadhiri vp mm mnunuaji?
Msaada tafadhali
nnauza canon 650D na lensi ya 75-300mm 950k bei ya offa

pia kama hutaitaji speedlight kama jamaa alivyokushauri hapo juu nnayo inayoingia kwenye nikon na canon
nnauza laki 2 tuu

kama upo interested karibu PM
 
Powder

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Messages
3,245
Likes
3,011
Points
280
Powder

Powder

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2016
3,245 3,011 280
Nishajaribu hivyo bila mafanikio kifupi ina mlolongo mrefu haf wenye TV ni rahisi kuiba wazo..wewe una kitu tofauti gani?
Mkuu mbona kama hauko Serious?
Zamani ndo kulikua na hizo mambo za kuibiwa idea kwa watu ambayo walikua hawako committed....

Leo hii kama una idea yako kwanza unaenda kusajiri then unaendelea na mipango yako, kama ukiwapelekea TV Station Demo then wakaiba idea yako, wewe anza kufanya Sherehe coz watakulipa pesa nyingi Mahakamani...

So kama una full Video Production tukutane Mkuu tufanye kazi, nna ma ideas ya kumwaga, kuanzia TV show, Documentaries TVs program, live show na idea nyingi...

But vyote vitafanyika in a high quality way kwa Soko la ndani nje!
 
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
2,682
Likes
7,166
Points
280
Age
28
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
2,682 7,166 280
nnauza canon 650D na lensi ya 75-300mm 950k bei ya offa

pia kama hutaitaji speedlight kama jamaa alivyokushauri hapo juu nnayo inayoingia kwenye nikon na canon
nnauza laki 2 tuu

kama upo interested karibu PM
ni aina gani hizo speed light? na prime lenz ya f 1.8 apperture kwenda juu unauzaje like f1.4?

toa specifications za bidhaa zako tuzinunue wahitaji
 
issawema

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Messages
778
Likes
535
Points
180
issawema

issawema

JF-Expert Member
Joined May 30, 2013
778 535 180
ni aina gani hizo speed light? na prime lenz ya f 1.8 apperture kwenda juu unauzaje like f1.4?

toa specifications za bidhaa zako tuzinunue wahitaji
lensi nlikuwa nayo hyo ya f1.8 50mm ya canon lakin nmeshauza sahiv nmebaki na hyo 75-300mm

speedlight ya triopo specification zake hzo hapo

06f740b0297b44a9ace68ffe4293fd3b.jpg

4ca73813c63279ac914ef492a75c989c.jpg
 
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
2,682
Likes
7,166
Points
280
Age
28
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
2,682 7,166 280
lensi nlikuwa nayo hyo ya f1.8 50mm ya canon lakin nmeshauza sahiv nmebaki na hyo 75-300mm

speedlight ya triopo specification zake hzo hapo

06f740b0297b44a9ace68ffe4293fd3b.jpg

4ca73813c63279ac914ef492a75c989c.jpg
triopo kariakoo wanauza 150,000 .. na ni vimeo sana zimeshanifia mbili.. kwa sasa natumia younghnuo

ila mimi nahitaji speedlight brand ya nikon, canon ukiwa nayo nicheki kama bei ni fair nitanunua
 
issawema

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Messages
778
Likes
535
Points
180
issawema

issawema

JF-Expert Member
Joined May 30, 2013
778 535 180
triopo kariakoo wanauza 150,000 .. na ni vimeo sana zimeshanifia mbili.. kwa sasa natumia younghnuo

ila mimi nahitaji speedlight brand ya nikon, canon ukiwa nayo nicheki kama bei ni fair nitanunua
kuna model nyng za triopo sasa nakushangaa unavyoconclude wakati kna watu nmewauzia huu mwaka wa pili na haina tatzo lolote hata hyo ya canon nnayo lakin wateja wanaojifanya wajuaji kama ww huwa cfanyi nao biashara endelea ktumia youngnou au nenda jumbo
 
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
2,682
Likes
7,166
Points
280
Age
28
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
2,682 7,166 280
kuna model nyng za triopo sasa nakushangaa unavyoconclude wakati kna watu nmewauzia huu mwaka wa pili na haina tatzo lolote hata hyo ya canon nnayo lakin wateja wanaojifanya wajuaji kama ww huwa cfanyi nao biashara endelea ktumia youngnou au nenda jumbo
hiyo ni poor customer service..

vitu vidogo vidogo huwa tunanua kkoo.. vitu vikubwa tunaagiza fst tolifo, godox etc.. sababu wafanyabiashara wengi kama nyinyi mnapenda kutumia ujinga wa wateja ili muwauzie vitu vibovu kwa bei kubwa mpate faida za kinyonyajii..

mnaagiza vitu vya kichina bei rahisi.. mnawapa silent ocean napo mnalipa bei rahisi halafu mnataka mudanganye wateja ili mumuwauzie kwa bei za original products za nikon au canon

hii ni internet era... google imerahisisha sana mambo.. ukimtajia mtu kitu bei anaenda aliexpress au google kucheki reviews..

biashara yoyote inahitaji good customer service.. na mteja mwenye uelewa ndio mzuri sababu anajua anachikitaka.. sio yule wa kumbambikia kitu kisha akuponde tapeli ukose wateja.. mimi ni mteja anaejua nachokitaka
 
issawema

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Messages
778
Likes
535
Points
180
issawema

issawema

JF-Expert Member
Joined May 30, 2013
778 535 180
hiyo ni poor customer service..

vitu vidogo vidogo huwa tunanua kkoo.. vitu vikubwa tunaagiza fst tolifo, godox etc.. sababu wafanyabiashara wengi kama nyinyi mnapenda kutumia ujinga wa wateja ili muwauzie vitu vibovu kwa bei kubwa mpate faida za kinyonyajii..

mnaagiza vitu vya kichina bei rahisi.. mnawapa silent ocean napo mnalipa bei rahisi halafu mnataka mudanganye wateja ili mumuwauzie kwa bei za original products za nikon au canon

hii ni internet era... google imerahisisha sana mambo.. ukimtajia mtu kitu bei anaenda aliexpress au google kucheki reviews..

biashara yoyote inahitaji good customer service.. na mteja mwenye uelewa ndio mzuri sababu anajua anachikitaka.. sio yule wa kumbambikia kitu kisha akuponde tapeli ukose wateja.. mimi ni mteja anaejua nachokitaka
we chenga kweli sasa kama unanuna ebay au godox sasa si ukanunue huko
nachokupinga ni kuja kusema eti hzo triopo ni mbovu na znauzwa 150 wakati zipo model nyingi huo ujuaji ndo naokwambia hautakufikisha popote,hata mm ni mteja vilevile ningekua mjuaji kama ww kila kitu ningeagiza njee kwasabab bei ni rahis,waache wenye haraka zao wanunue sio kuja kugenelarize eti ni mbovuu

poor customer
 
kalagabaho

kalagabaho

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
4,726
Likes
2,760
Points
280
kalagabaho

kalagabaho

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
4,726 2,760 280
Mkuu mbona kama hauko Serious?
Zamani ndo kulikua na hizo mambo za kuibiwa idea kwa watu ambayo walikua hawako committed....

Leo hii kama una idea yako kwanza unaenda kusajiri then unaendelea na mipango yako, kama ukiwapelekea TV Station Demo then wakaiba idea yako, wewe anza kufanya Sherehe coz watakulipa pesa nyingi Mahakamani...

So kama una full Video Production tukutane Mkuu tufanye kazi, nna ma ideas ya kumwaga, kuanzia TV show, Documentaries TVs program, live show na idea nyingi...

But vyote vitafanyika in a high quality way kwa Soko la ndani nje!
Full video production ndio unamaanisha nini?
 
Forum statistics

Threads 1,237,078
Members 475,401
Posts 29,277,500