Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?

tiazo

Member
Jan 24, 2013
68
31
Entrepreneur na mwanafunzi wa chuo kimoja Dar ninampango wa kununua camera kwa ajili ya kufanyia biashara ya upigaji picha kwa matukio kadhaa sitakua na studio kwa sababu biashara hii ni ndogo.

Nahitaji kufahamu camera ipi ni nzuri kwa mawazo yangu ninampango wa kununua cannon lakini sijajua cannon model gani ndo itakua suitable.
[HASHTAG]#msaada[/HASHTAG] tafadhali
a4663277d34f72b34e728849d4ab17c3.jpg
 
Bei ya camera ni msiba, hata ukipewa hiyo hela utaghairi hata kununua, akanunua gari canon 5d mark iii inauzwa million 9 na ushee, nikon d7200 milion 4.5... Pale jumbo camera posta... Sijajua km kuna duka lingine la camera wenye kujua watujuze
 
kila matumizi na camera zake, kuna camera chini ya milioni na ni nzuri tu, karibia kila kampuni sasa hivi ina DSLR ya around $300 hivyo sio lazima utoe mamilioni ununue camera ambayo hutumii feature zake zote.
 
Ubora wa picha na video, hebu share hizo camera na maduka ya camera kama unayajua ili tujue zaidi
 
Canon wako vizuri sana ika unapaswa kua unajua kupiga picha kweli how to operate the Camera.. Nianzie 5D Mark 2 na 3 ziko vizuri sana katika mazingira yote ila ushauri wangu uwe mpiga picha kweli ata hiyo hapo juu ni nzuri ila kumbuka picha inaandaliwa
 
Ubora wa picha na video, hebu share hizo camera na maduka ya camera kama unayajua ili tujue zaidi
mfano kwa canon kuna EOS 1200D

1000-Canon-EOS-1200D-6_1403016078.jpg

maduka sijui yapo wapi yanayouza mpya na za kisasa ila ukitumia kupatana utazipata nyingi tu,

ingia kupatana search neno dslr zitakuja.
 
Labda kwanza nikuweke sawa
1. Biashara ya picha SIO BIASHARA NDOGO
2. Unapoomba ushauri USIONESHE UNAJUA
Sasa nikushauri, sasahiv camera nzuri ni zile za mfumo wa DSLR(Digital Single Lens Riflex)
Na kuna brand nying mf. Canon, Nikon, Sony, Samsung, Pentax, na nyingine nyingi.
Kwa mahitaji camera ya still pictures nzuri ya gharama nafuu ipo Nikon D40,D3100 hizi ni camera nzuri sana
 
Thanks na zenye kupiga na video pia
 
Entrepreneur na mwanafunzi wa chuo kimoja Dar ninampango wa kununua camera kwa ajili ya kufanyia biashara ya upigaji picha kwa matukio kadhaa sitakua na studio kwa sababu biashara hii ni ndogo.

Nahitaji kufahamu camera ipi ni nzuri kwa mawazo yangu ninampango wa kununua cannon lakini sijajua cannon model gani ndo itakua suitable.
[HASHTAG]#msaada[/HASHTAG] tafadhali
a4663277d34f72b34e728849d4ab17c3.jpg

Kama upo serious na hiyo kazi, una customers base njoo inbox nitakukabidhi vifaa vya kisasa ikiwemo canon new model ( 5D mark 3)..njoo na wazo tufanye kazi..sharti ni moja tu uje na idea ya namna gani tutapata pesa na idea iwe realistic
 
Vipi kuhusu mwenye idea ya kipindi cha TV hutoi ushirikiano ?
 
Jumbo naona kama wanaelekea kufilisika wale maana vifaa vingi hawana wamebaki na displays tu.. kila ukiwalulizia vifaa wanakuambia wataagiza usubirie
Hizo kamera ukishapiga mpaka ukaprint sehemu nyingine au zina print
 
Napenda picha sana ila shida bei ya kununua camera au kwenda kwa hawa wapiga picha ni gharama nimeamua kuingia playstore na kudownload app mbadala wa hizo canon na camera zenye DSLR(kwa mbali)
 
Back
Top Bottom