One Man Army
JF-Expert Member
- Dec 27, 2011
- 236
- 34
heshima mbele wakuu...wakuu naomba ushauri kamera gani ni nzuri kwa matumizi ya kupiga picha binafsi nina laki mbili kwa jili yakununua hyo kamera...ushauri plz
Napenda Canon, ina good quality photos. Ukipata kuanzia 14 megapixels utafurahia.
ongeza 60,000/= utapata samsung digital camera yenye specification kama vile double screen,14.2 megapixels na vingine vingi.kama upo interested nipm nikupe further desription.
Napenda Canon, ina good quality photos. Ukipata kuanzia 14 megapixels utafurahia.
laki 2 utaishia kupata kimeo tuu mkubwa!ukitaka kitu cha ukweli uwe na kama laki 6 hv!
Kwa Kamera za namna hiyo, ningelikushauri ununue PANASONIC Lumix.
Ni nzuri sana kwa grade za chini na kwa sasa ameshawafunika hao akina Cannon na Nikon kwa mbali sana.
Sema tu jamaa ni wakali na huwezi kabisa kuwagusa kwenye High Level huku wakifuatiwa na akina Yachica na Olympus.
Ukikwama kabisa kama upo Dar, ninaweza kufanya mpango baada ya wiki tatu ukawa na Kikamera kidogo cha Lumix.
Usivamie Mikamera yenye Pixel kubwa na ukafikiri ndiyo ubora wenyewe, utalewa. Ni sawa na uwe na gari lenye matairi mazuri, kila kitu cha hali ya juu ila Engine bomu na unataka kwenda kwenye mashindano ya magari.
Kwenye Camera kwanza angalia Lens gani imetumika. Lumix, Leica, Nikkor, Cannon na wengine kadhaa ndiyo wakali wa vioo vya lens. Sony na yeye kashaanza kutengeneza chake mwenyewe. Pia angalia aina ya Engine iliyowekwa ndani ya camera na hizo processor zake, pia Sensor gani wameweka. Lens, Processor (Engine) na Sensor ndiyo vitu muhimu sana kwenye Camera na mwisho ni hizo Pixel. Kwa matumizi ya kawaida, Pixel 4-6 Mpxl zinamtosha sana mtu.
Naweza kukununulia Camera kama hii PANASONIC LS75 Kwa bei hiyo. Ila ndiyo itabidi usubiri mwezi watano mwishoni jamaa akinitumia. Kama una roho ngumu, unaweza kupata nzuri zaidi ila imetumika na hali yake bado ni nzuri.

Acha mkwala,Lens bora ni Carl Zeiss,angalia camera zote kali zina lens hii.majina siyo issue inategemea camera ina lens gani.camera bora zina Carl Zeiss lens.
Ndugu kama unahitaji camera kwa matumizi ya kawaida laki 2-3 inatosha kabisa.Nenda duka la Samsung pale Village Walk Masaki kuna camera nzuri tu kwa matumizi ya kawaida kuanzia laki 2+
yashika