camera nzuri kwa matumizi binafsi

Hao Lens zao bei ya kati na hawawafikii NIKKOR na CANON Lens. Ndiyo maana hata NOKIA wanazitumia sana kwenye Simu zao maana ni bei nafuu. Hata SONY wameshaanza kuachana nao baada ya kutengeneza kioo chao.

Hebu nenda kwa Michuzi au wapiga picha wowote wakubwa duniani uone kama hata mmoja wao anatumia Camera yenye kioo cha Carl Zeiss Lens. Acha UONGO Mkuu wangu. Kwenye High Class zote, huyo jamaa hayupo.

Mkuu unayetaka Camera, nimekupa ushauri mzuri sana. Hizo zenye Lens nzuri na Sensor nzuri zenye Processor kali (Engine) basi bei yake ni dola kuanzia 500 kwenda juu. Kiboko hadi sasa kwa wapiga picha ni Canon Mark II. hilo dude kama upo Da, basi waweza kuliona kwa Michuzi. Bei yake lile dude si nzuri kwa mtu wa mshahara wa kawaida.
Kwa bei hiyo, tafuta SONY au Panasonic. Hao akina Nikon au Canon wana deal zaidi na high class Camera.
Acha mkwala,Lens bora ni Carl Zeiss,angalia camera zote kali zina lens hii.majina siyo issue inategemea camera ina lens gani.camera bora zina Carl Zeiss lens.
Ndugu kama unahitaji camera kwa matumizi ya kawaida laki 2-3 inatosha kabisa.Nenda duka la Samsung pale Village Walk Masaki kuna camera nzuri tu kwa matumizi ya kawaida kuanzia laki 2+
 
Back
Top Bottom