Answer my question plz?Wakoloni wepi mkuu,mnalishwa maneno na agents wa Shetani na ninyi mnaamini.Biblia haikuandikwa na wakoloni,imeandikwa na Waebrania.Kwahiyo hata Wazungu walipelekewa.Mathayo,Luka,Marko,Yohana,Paulo etc. sio Wazungu,hawa ni Waebrania.Hao unaowaita Wakoloni nao walipelekewa Injili na akina Paulo,Petro nk.
Sisi tumeipokea biblia kutoka kwa wakoloni ( watu makatili kuliko shetani), huu ndio ukweli.Wakoloni wepi mkuu,mnalishwa maneno na agents wa Shetani na ninyi mnaamini.Biblia haikuandikwa na wakoloni,imeandikwa na Waebrania.Kwahiyo hata Wazungu walipelekewa.Mathayo,Luka,Marko,Yohana,Paulo etc. sio Wazungu,hawa ni Waebrania.Hao unaowaita Wakoloni nao walipelekewa Injili na akina Paulo,Petro nk.
To the big extent bible has been changed by corrupt capitalist Western countries, the stories en tales of Jesus are nothing but myth en fix.Jana nilikuwa napitia kitabu fulani niliyoyakuta yalinifadhaisha sana.
Eti mpaka mwaka 321, AD Yesu alichukuliwa kama binadamu wa kawaida ila akiwa kiongozi wa kiroho mwenye kuheshimika na ushawishi mkubwa.
Uungu wa Yesu uliamuliwa kwa mabishano na kupigiwa kura na wahuni fulani katika mkutano wa Nicaea. Utatu mtakatifu nao haukuwahi kuwepo before ila uliamuliwa na watu tu, katika mkutano wa Constantinople.
Natamani kuandika mengi ila naogopa kukufuru.
Ukirudi 17. Yesu naye anasema ana Mungu. Unadhani Mungu ni nani.Mkuu sio vyema kukataa bila kufahamu jambo kwa Kina...Ok mfano wa kwanza👇
Yohana 20:28
Yohana 20:28 NEN
Tomaso akamwambia, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
Sasa soma alichokijibu Yesu kisha uniambie kama kuna haja ya ubishi tena.👇👇👇👇👇
29 Yesu akamwambia, “Umeamini kwa kuwa umeniona? Wamebarikiwa wale ambao hawajaona lakini wameamini.”
Neema za Mungu ziwe nawe.💪
Mkuu Jesus was a true prophet of God but those who wrote the Bible must have exaggerated the truth en the true story of Jesus,Jesus was rejected in Judaism as a failed Jewish messiah claimant and a false prophet by most Jewish.my self i dont believe jesus was a prophet at all he was an imposter and false messiah. In Judaism we considers the worship of any person a form of idolatry like praising jesus is an act of idoltary.
Judaism affirms that Jesus did not fulfill the messianic prophecies by ushering in an era of universal peace as he came to bring sword and diaputes to the people and community.
Matthew 10:34-39 34 reads that
Do not suppose that I have come to bring peace to the earth. I did not come to bring peace, but a sword. 35 For I have come to turn
“‘a man against his father,a daughter against her mother and daughter-in-law against her mother-in-law(A)—
36 a man’s enemies will be the members of his own household.’[a](B)
37 “Anyone who loves their father or mother more than me is not worthy of me; anyone who loves their son or daughter more than me is not worthy of me.(C) 38 Whoever does not take up their cross and follow me is not worthy of me.(D) 39 Whoever finds their life will lose it, and whoever loses their life for my sake will find it.
What kind of God is that?
Mkuu Jesus was a true prophet of God but those who wrote the Bible must have exaggerated the truth en the true story of Jesus,
𝐉𝐞𝐬𝐮𝐬 is not only the 𝐬𝐨𝐧 𝐨𝐟 𝐆𝐨𝐝. All righteous 𝐩𝐞𝐫𝐬𝐨𝐧𝐬 are 𝐬𝐨𝐧𝐬 𝐨𝐟 𝐆𝐨𝐝 according to the Bible.Can you prove that jesus was sent to man kind by god?
Na hapo ndipo sisi wakristo tunapoamini katika Utatu mtakatifu 👇👇👇Ukirudi 17. Yesu naye anasema ana Mungu. Unadhani Mungu ni nani.
Yohana 20:17
Neno: Bibilia Takatifu
17 Yesu akamwambia, “Usin ishike kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninakwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu.”
Mjadala umeishayesu ni Mungu
Pinga kwa hoja, sio kutukanaNi upumbavu na kama yesu ni mungu basi hata ebitoke aweza kuwa mungu.
No one knows the things of God except by the help God himself.Fanatism is an act of believing without reasoning.....how could one to understand a bible should have holy sprite? Did the Bible come for only those who are holy? Where do holy sprite got? This is another tricky used by Christian fanatics after failing to explain logic of their belief.....
Just because something is difficult to comprehend in your human understanding it doesn't mean the thing is not true.So what was the logic en intention of God to reveal a book that we can't understand? Is God using the policy of you cant convince them confuse them?
Forgiven by WHO?Take courage, son; YOUR SINS ARE FORGIVEN.”
si wewe uliyesema kuwa "mungu wako" alisulubiwa msalabani na akafa kwa muda wa siku tatu?Yes,this shows how uninformed you are about spiritual matters.Mungu ni Roho, kwa hiyo Yeye kama Mungu hawezi kuandika Biblia.How did He do it,He used the Holy Spirit to write the Bible.Roho Mtakatifu aliwa-vuvia watu and through the instructions of the Holy Spirit,Biblia ikaandikwa.Ni Kama vile Shetani anavyokutumia wewe kumpinga Mungu,the Spirit of the Devil is inside you.
Na kuhusu Mungu wetu kusema,yes anasemwa,asiyesema labda wa kwenu,sasa Mungu asiyesema wa nini,he is a dead God,our God is alive.
Ukristo hauna tofauti na "dini" nyingine za kipagani ambazo zinaamini katika kutoana KAFARA (za UUAJI) ili jambo fulani litimie.Huwa naamini kwamba ni upuuzi kubishania mambo ya imani,kila mtu ana uhuru wa kuamini anachotaka.Believe in Zeus,Apollo,Neptune,Krishna or whatever,ila at time " t" ukweli utajidhihirisha.
Even though the best way is obvious to the intelligent.Hivii, upo mahali ambapo kutoa watoto kafara si tatizo,ushirikina si shida,kunywa damu za watu si shida,child porn si shida,mauaji si shida, unscrupulous sex si shida,hela ya aibu si shida,rape ya vitoto si shida,ushoga, lesbianism si shida,kunywa damu za hedhi si shida,na uovu mwingine mwingi wa aibu unaofanana na huo si shida,halafu unaukandia ukristo na wewe unajiona upo sahihi na salama!!!!!Ajabu sana.Ni Mungu wa ajabu tu anayeweza kuvumilia ujinga na uovu huo.
Ukiwa na maana gani sasa kuwa na wewe ni Mungu?Hata mimi ni Mungu. Kuna shida!?
Imani ya utatu (trinity) ni ya kipagani iliyoasisiwa NICEA nchini uturuki miaka zaidi ya 300 baada ya kuondoka kwa Yesu hapa duniani.Na hapo ndipo sisi wakristo tunapoamini katika Utatu mtakatifu 👇👇👇
Yn 10:30
Yn 10:30 SUV
Mimi na Baba tu umoja.
Pia Yohana 17, Yesu anasema.....
5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako
Unadhani anamaanisha nini kusema kabla ya ulimwengu Kuwako.