Call Center ya Airtel Tafadhali acheni jambo hili

Guru Master

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
594
Mmekuwa na tabia ya kuwapigia simu wateja. Binafsi ni mteja ambaye sipendi usumbufu kabisa. Calls zenu za kuniambia promotions sina interest nazo. Sitaki promotions

Na pia nikihitaji kitu si kuna menu yenu na website? Sasa kwa nini mnipigie simu kila mara? Sitaki usumbufu line ni yangu na simu ni yangu.

Please acheni hiyo tabia na ya kutuma sms za matangazo kwangu. Sipendi kero.

Sisi wengine tunatumia simu kwa mambo muhimu tu siyo usumbufu wenu. Muelewe please.
 
Mmekuwa na tabia ya kuwapigia simu wateja. Binafsi ni mteja ambaye sipendi usumbufu kabisa...
Tatizo la Bongo ni kuwa hakuna consumer ombudsman.

Au kama ipo, basi haifanyi kazi yake.

Hiki ni kitengo cha kulinda na kupokea malalamiko ya wateja.
 
Back
Top Bottom