Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,873
- 29,048
Yeye alishawahi kusema alidanganya umri wakati ule ili agombee umiss Tz....kipindi kile alikuwa na miaka 14Hv huyu wema hakui jamani? Maana nakumbuka wakati anagombea umiss Tz, mi nilikuwa form 3 hadi leo nakaribia miaka 30 na mtoto juu lkn mwenzangu bado yuko na 24 tu, dah..... Hatari sana.