Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,544
- 7,484
Swali la kwanza limekosewa
Jibu lake liko kwenye attachment hiyo hapo chini. Ni jibu na si njia ya kufikia jibu hilo. Aliyefanya swali hili atakuwa alikosea kwenye stage ipi?
NB: Kilichokosewa hapa ni jibu, yaani swali liko sahihi, ila jibu lake ndiyo haliko sahihi
Non-Constant Coefficients: Reduction of Order

www.math.ubc.ca