babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,113
- 16,023
ndani ya calabaSh wana jf mpoo?naona kumekucha hapa

nipo hapa karibu na choo cha kike uko wapi wewe?
unafanya nini karibu na choo cha kike ? au humuamini shemeji unamsubiri mlangoni ? hahaha!nipo hapa karibu na choo cha kike uko wapi wewe?

unafanya nini karibu na choo cha kike ? au humuamini shemeji unamsubiri mlangoni ? hahaha!

nje kabisa huku napunga upepo
unafanya nini karibu na choo cha kike ? au humuamini shemeji unamsubiri mlangoni ? hahaha!
kama hamsubiri shemeji na hupenda kukaa hapa basi ni mtu wa 'kula na macho'anapiga chaboooz
mimi hapo hupita mchana kula ugali wa muhugo na samaki lakini usiku mitaa yangu San Ciiro na Bils.aisee mimi ndo sehemu yangu hapa ya kukaa,kila siku uporoto.Wewe uko wapi?
kama hamsubiri shemeji na hupenda kukaa hapa basi ni mtu wa 'kula na macho'
mimi hapo hupita mchana kula ugali wa muhugo na samaki lakini usiku mitaa yangu San Ciiro na Bils.
Hapana mama ni mambo ya Dushelele si unajua weekend ?uporoto,kwani ww baunsa? haya banaa!

Mnakumbuka kuswali kweli au ni bata kwa kwenda mbele.

mzee kuswali kuna muda wake usitukate stimu

Mzee umelala hapo hapo calabash?