Upi ni muda sahihi wa kula daku?

Mama Edina

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
748
1,816
Jirani angu ameomba nigoogle mtandaoni kalenda ya daku mwezi huu wa ramadhani lakini inanipa mashaka hii kalenda. Kama vile kumekucha sana, inaonesha saa 5:17 am (saa kumi na moja na dk 17 Alfajiri).

Nahofu nisije kuwa nimempoteza/kudanganya muda wa kula daku.
 
Saa 11 alfaji na dakika 17 ndio muda mwisho kula daku

Jirani angu ameomba nigoogle mtandaoni kalenda ya daku mwez huu wa ramadhani lkn inanipa mashaka hii kalenda. Kama vile kumekucha sana. Inaonesha saa 5:17 am

Nahofu nisije kiwa nimempoteza/kudanganya muda wa kula daku
Mpo Dar?
 
Nilipokuwa naishi huko, saa kumi na nusu ilikuwa muda mzuri wa kuhitimisha hilo jambo.

Inatakiwa lihitimishwe angalau nusu saa kabla muda wa sala ya asubuhi haujafika.

Kwa hiyo kikomo kitategemeana na sehemu ulipo hapa nchini
 
Kama utarejea hadithi na fiqh za mtume muhammad(s.a.w),wanazuoni wanasema mwisho wa daku ni pale adhana ya alfajir inapo nadiwa..
 
Jirani angu ameomba nigoogle mtandaoni kalenda ya daku mwezi huu wa ramadhani lakini inanipa mashaka hii kalenda. Kama vile kumekucha sana, inaonesha saa 5:17 am (saa kumi na moja na dk 17 Alfajiri).

Nahofu nisije kuwa nimempoteza/kudanganya muda wa kula daku.
Kabla ya adhana ya pili ya swala ya alfajiri.
 
MMEFUNGA ILIHALI MNAKULA USIKU KUCHA.

MMEBADIRI RATIBA YA KULA CHAKULA TU.

ni kama mtoto aende shule saa moja usiku kisha atoke saa kumi na moja alfajiri akwambie Amefunga shule.

DINI HIYO NI YA KIPUMBQVU KABISA
 
Back
Top Bottom