Kwa jicho pana Rais yupo nyuma ya Spika.
Magufuli hapendi kukosolewa wote mnajua ya Lissu, wote mnajua ya Wapinzani leo, wote mnajua kilichompata msajili wa hazina alipotoa maoni ya wazi clouds 360 kuwa kuweka fedha za umma bank kuu kutapunguza mzunguko wa fedha na si kosa kisheria kuweka katika mabenki ya kawaida, aliliwa kichwa.
Dumelang
Hapendi mwendelezo wa matumizi ya neno dhaifuTEAM MAJIZI Magufuli na Ndugai, wanaitaka CAG iwe DHAIFU kama Bunge.
Ndugai sio mwanasiasa ni kiraza tu. Mimi nijuavyo mwanasiasa ujibu hoja kwa sio vitisho na kujificha kwenye Dora.CAG ameamua kumjibu mheshimiwa spika baada ya press conference ya jana ambayo spika amemtaka ajiuzulu.
Katika majibu hayo CAG amebainisha vizuri akitumia vipengele vya Katiba kuainisha wajibu wake bila kutetereka.
Hii ngoma ni kali kweli kweli, maana hapa kuna msomi vs mwanasiasa.
Sijui mshindi ataibuka nani.
Kama ambavyo MSUKUMA alisema bungeni kuhusu mshahara wa LISU, la CAG nalo linakwenda kuingizwa kwenye mjadala kama lile… INGAWA WANAKOSEAGA KUJUA KAMA WANARUHUSIWA KISHERIA AU LA.... Maana nikiangalia la mshahara wa LISU, waliacha kumlipa, akawapa 14 days, wakasalimu amri… Tukamwona tu SPIKA akisema washamlipa, labda kuchelewa kutokane na mifumo ya ulipaji… UTADHANI SI YULE ALOIYESEMA KINYUME KABLA...!!!Kama hadi sasa hivi Magufuli amenyamazia jambo hili basi ujue kuna kitu behind the scene. Si bure anyamaze
Wanyonge ndiyo watu gani hao?Huwa ninawashangaa sana wale wanaoamini mzee wetu ni mtetez wa wanyonge
Najiuliza huo ushauri alioutoa jana kwann hakuutoa toka mwanzo, hiv spika kama naogopa hivyo rais eti ameguswa je ataweza kumsimamia serikali yake rais,na kwann rais mwenyewe asimtake cag ajieleze kwake.Ndio maana katika taaluma mbali mbali kuna kamusi zao.
Utasikia dictionary of medicine, dictionary of geography na kadhalika.
Sasa shida nchi hii kila kituni siasa kuanzia mpira mpaka mahesabu.
Ni shida kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na jiwe alishasema… mhimili wake una miziz mirefu … Na JOBU kasema, ukiwa unalishwa hutakiwi kumsema anayekulisha...Kuna kitu tunachokiita check and balance, ambapo uwepo wao mihimili yote mitatu ni muhimu katika kuleta "good governance"
Hata hivyo kila mhimili unafanya kitu tunachokiita "watchdog" kwa wenziwe
Inaonekana kwenye nchi hii chini ya utawala wa awamu ya 5, mhimili. wa serikali "umegoma" kufanyiwa watchdog na hiyo mihimili mingine 2, na mhimili huo wa Executive unajifanya kuwa ndiyo Superior wa mhimili yote hiyo na hapo ndipo penye kiini cha tatizo lenyewe.
Mpaka hapo huo mhimili wa Executive utakapojishusha na kujiona upo sawasawa na hiyo mihimili mingine miwili, ndipo tutakapokuwa,tume-solve tatizo
HahahahaSide effect, huwa zinagoma mwishowe.
Duh! umetumia maneno makali lakini kaama ni ukweli ni poa sana! wacha wanaoumia waumie!Ndugai ni mouthpiece ya Jiwe, wanachofanya ni harassment kwa CAG ili ajiuzulu.
Jiwe ni mwizi wa fedha za umma na CAG ni mlinzi, sasa anataka mlinzi aondolewe.