Bure ndo inawatoa akili au ulofa tu !?[/QUOTE[/QUOTE
Jiulize kwanini huko kwny elimu bure hakuna mtoto wa rais/makamu wa rais/waziri mkuu/mawaziri wanasoma huko ndo utajua kule ni ulofa au la.]
Kwa hio hapo unamuona alikua jukwaani akipiga siasa sio?Anafanya nini hapa
View attachment 1254377
Sijui hata kama anajua alikuwa wapi hapo.Kwa hio hapo unamuona alikua jukwaani akipiga siasa sio?
Hio website hapo nyuma ya Assad unaona imeandikwaje?
Nadhani wewe unadhani kuwa Jukwaa maana yake ni stage tu; hapana, jukwaa ni space yoyote mtu anapotolea maoni yake, ndiyo maana hata JF ni jukwaa. Kuitoisha press conference na kuanza kuzungumuza matamko yenye mleongo wa kisiasa ni makosa, hata kama press conference hiyo umeiitisha nyumbani kwako, na mbaya zaidi ni pale unapoiitia kwenye ofisi ya umma ambayo haitakiwi iwe ya kiserikali.Kwa hio hapo unamuona alikua jukwaani akipiga siasa sio?
Hio website hapo nyuma ya Assad unaona imeandikwaje?
Wacha maneno/ujuaji mwingi.Nadhani wewe unadhani kuwa Jukwaa maana yake ni stage tu; hapana, jukwaa ni space yoyote mtu anapotolea maoni yake, ndiyo maana hata JF ni jukwaa. Kuitoisha press conference na kuanza kuzungumuza matamko yenye mleongo wa kisiasa ni makosa, hata kama press conference hiyo umeiitisha nyumbani kwako, na mbaya zaidi ni pale unapoiitia kwenye ofisi ya umma ambayo haitakiwi iwe ya kiserikali.
kama kuna mtu anaamini kuwa Assad kaonewa, na katiba imevunjwa, milango ya mahakama kuu iko wazi kusikiliza madai ya uvunjwaji wa Katiba.
Mimi ninajuwa kusoma na kuandika. miaka 60 au 65 ni kikomo. Kuteuliwa ni kwa miaka mitano. Baada ya miaka mitano unaongezewa miaka mitano zaidi, lakini siyo lazima uongezwe. Wewe unavyosema hajafika miaka 60, je mtu akiteuliwa nafasi hiyo akiwa na umri ni lazima afikishe hiyo miaka? Je mtu huyu hawezi akateuliwa nafasi nyingine ni mpaka abaki CAG mpaka awe 60/65?.Mkuu kama kama Assad angekuwa na kosa la maadili kuna taratibu za kikatiba kumuondia
Katiba inataka afikishe miaka 60
Kafikisha?mbona mnajifanya hamjui kusoma?
Wa Kukona tata, sio Kuruya!Msimbete wa kuruya..
Kichere TRA alikuwa technocrat. Hakushushwa, alipewa madaraka tofauti wenye ngazi zinazoshuhubiana. RAS ni mtu wa pili kwa madaraka katika mkoa.Ndio maana tunasema huyu MtuPori huwa haeleweki au tuseme anaropoka bila kupima maneno. Leo unamshusha cheo mtu kuwa utendaji wake hauridhishi, baada ya muda mfupi unampa madaraka makubwa zaidi hata ya Yale uliyokuwa umemvua.
Shida sana kuwa na mtu wa aina hiyo
Leo unamsifia kichere?Prof Assad Mungu akubariki sana kazi uliyofanya wenye akili wameiona.
Eti Kichere CAG...such a coward person...nchi hii ni kituko sana...
πππKichere tumeambiwa ni mjomba wake.