FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Kikwete awape ruhusa Utouh na Hosea waende wakahojiwe ITV hata kwa masaa mawili kila mmoja kuhusu ripoti zao mbili kuhusiana na wizi huu na awape uhuru wa kuzungumza mbele ya umma wa Watanzania, tujue mbivu na mbichi.
Ni lini Kikwete aliwazuwia kuongea na ITV au TV nyingine yeyote ile?
Hivi kwanini mnapenda kuleta uongo? Utuoh hilo gazeti walimpataje wakaongea nae ITV washindwe kumpata?
Hoseah mbona nimeshamuona mpaka kwenye kipindi cha IT akihojiwa zaidi ya 45, si kwa suala hili, lilikuwa halipo kwa masuala mengine, sasa iweje leo washindwe kumpata?
Nikupe jibu la hayo? Unajuwa fika kuwa ITV hawathubutu kuwaita hao kuongea nao kwani hii "smear campaign" itakuwa futile. Hapa mtabaki nyinyi mnaokoteza na kubadili maneno na kujaza uongo wenu, kwenye TV live hilo si rahisi.
Thubutu ITV iwaite.