Tundapori
JF-Expert Member
- Aug 12, 2007
- 652
- 277
Wacheni uongo kucheza na maneno, Utuoh kasema "Ushauri wangu ni kwamba uchunguzi unatakaiwa ufanyike na wale watakaobainika kufanya wizi basi warudishe fedha walizoiba na halafu wapelekwe mahakamani".
Ina maana ipi hapo? kwanza, uchunguzi haujakamilika. Pili, hakuna aliyebainika mpaka sasa kafanya wizi.
Watu waongo sana, ndiyo maana hawakubandika na wameweka link tu, wanajua wengi hawatoenda kuisoma.
Wacheni uongo. Hauwasaidii kitu, tuko macho.
Wacheni = Acheni
unatakaiwa = unatakiwa
hawatoenda = hawataenda
link = link