CAG Mstaafu Utouh Asema Fedha Za Escrow Zirudishwe

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,027
Reaction score
74,713
Aliyekuwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali Bw Ludovic Utouh amesema fedha za Escrow a/c zirudishwe. Ikumbukwe kuwa yeye huyu ndiye aliyesimamia ukaguzi uliofanyika baada ya Bunge kuiagiza ofisi yake ifanye ukaguzi kabla ya yeye kustaafu kazi.
Maelezo haya ya Utouh yanadhihirisha kuwa katika fedha zile zipo fedha za umma kinyume na maelezo ya Rais (ambaye sio mtaalamu na hana mamlaka ya kutafsiri ripoti ya CAG) aliyotoa kwa wazee wa DSM.
Raia Mwema - Utouh: Za EPA zilirudi, za Escrow zirudi
 
Khe khe khe khe CAG anasema pesa zirudishwe ina maana ni pesa za umma, fisadi Kikwete anadai pesa ni za IPTL!!!! Sasa nani wa kuaminiwa kati ya hawa wawili? Yule aliyefanya uchunguzi wa documents husika kwa zaidi ya miezi sita au yule aliyeandikiwa email toka kwa mmoja wa wezi wa pesa hizo kwamba pesa ni za IPTL na si za umma!? Hii ngoma bado mbichi sana.

Mkuu BAK sasa ukisikia uhondo wa ngoma uingie ucheze. Utouh kaamua kuingia kucheza. Huyu ndio alipaswa toka mapema kulizungumzia jambo hili kinaga ubaga tokea awali lakini inaonyesha msimamo wake ulishajulikana wakamminya hadi astahafu ndio waitoe hiyo ripoti na yule Kaimu nadhani alipewa mkwara mzito akasinyaa.
Ukisoma hiyo article ya Raia Mwema maelezo ya CAG mstaafu yako Loud and clear
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chakaza bora Utoh ameamua kuingia uwanjani na kuicheza hii ngoma. Niliuliza hapa inakuwaje CAG astaafu kabla ya kumaliza kazi aliyopewa ya kuchunguza wizi katika wa pesa hizi katika bank account ya Escrow pale BoT sasa ukweli unaanza kudhihiri na kuonyesha kwamba alishinikizwa astaafu na fisadi Kikwete ili waweze kupata namna ya kuichakachua hiyo ripoti, kwani haiwezekani rais ashindwe kuomuongezea mteule wake miezi mitatu hata mwaka mzima ili aweze kukamilisha kazi muhimu aliyopewa na Taifa. Namuomba Mungu Wabunge wa UKAWA na wale CCM ambao wanajali maslahi ya taifa letu waendeleze hii kitu katuika vikao vya 2015 vya Bunge mpaka kieleweke. Huyu mhuni hastahili kabisa kuendelea kuwepo madarakani lazima ashinikizwe aondoke badala ya kuendelea kuichafua nchi katika jumuiya ya kimataifa na hivyo kuiweka katika hali ngumu sana.

Za Chenge zimeenda kwa shosti yake Lowasa kwa ajili ya kampeni mwakani.
 
Aliyekuwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali Bw Ludovic Utouh amesema fedha za Escrow a/c zirudishwe. Ikumbukwe kuwa yeye huyu ndiye aliyesimamia ukaguzi uliofanyika baada ya Bunge kuiagiza ofisi yake ifanye ukaguzi kabla ya yeye kustaafu kazi.
Maelezo haya ya Utouh yanadhihirisha kuwa katika fedha zile zipo fedha za umma kinyume na maelezo ya Rais (ambaye sio mtaalamu na hana mamlaka ya kutafsiri ripoti ya CAG) aliyotoa kwa wazee wa DSM.
Raia Mwema - Utouh: Za EPA zilirudi, za Escrow zirudi

Huyo CAG kwenye report yake alificha mambo mengi nakuwaacha watu njia panda kama fedha ni za umma au iptl,leo amekwisha staaf ndio anasema fedha zirudi kwanini hakuweka wazi kwenye report yake
akae kimya, alipokua kwenye system hakusema fedha zirudi leo ndio anaongea baada ya kutoka kwenye system, majina ya stanbic bank alipewa lakini hakuyaweka kwenye report yake nakuwaacha wananchi njia panda kimsingi atulie astaaf vizuri coz report yake ameficha mambo mengi na vielelezo muhimu ambavyo vingewaanika vigogo na wanufaika wa escrow
 
Wasiwasi wangu mkubwa ni uhai wa hawa watu wenye kuonyesha nia ya dhati juu ya kuipenda nchi hii kwani ndani ya utawala huu kutoa uhai wa mtu kwa ajili ya kuilinda CCM pamoja na kulinda Mafisadi kwao ni kitu wanachokipa kipaumbele na kwa kuandika haya namkumbuka sana Dr. Mgimwa na Dr. Mvungi(R.I.P)

Unapomtaja Dr Mgimwa unanikumbusha ile kauli ya naibu wake ambaye ndiye waziri wa fedha wa sasa Saada Mkuya. Wakati wa msiba ule kwa uchungu na kwa vile watu wanasema akina mama hawana "vifua" alijikuta akitamka maneno haya kwa uchungu "wamemuondoa Mgimwa kweli! Namuachia MUNGU". Bahati mbaya sana maneno yale yalidakwa na kamera za TV.
Ndio maana Mnyika majuzi alipolianzisha Bungeni kuwa iundwe tume kuchunguza kuna watu walitoa macho kama mijusi iliyobanwa na mlango.
 
Huyo CAG kwenye report yake alificha mambo mengi nakuwaacha watu njia panda kama fedha ni za umma au iptl,leo amekwisha staaf ndio anasema fedha zirudi kwanini hakuweka wazi kwenye report yake
akae kimya, alipokua kwenye system hakusema fedha zirudi leo ndio anaongea baada ya kutoka kwenye system, majina ya stanbic bank alipewa lakini hakuyaweka kwenye report yake nakuwaacha wananchi njia panda kimsingi atulie astaaf vizuri coz report yake ameficha mambo mengi na vielelezo muhimu ambavyo vingewaanika vigogo na wanufaika wa escrow

Nadhani ungesoma kidogo hiyo link ungemwelewa vizuri zaidi, kuhusu kustaafu, amestaafu kuwa CAG ila hajastaafu kuwa raia wa Tanzania hivyo uhuru wake wa kusema upo palepale na sasa ni kwa mapana zaidi.
 
Mkuu Chakaza bora Utoh ameamua kuingia uwanjani na kuicheza hii ngoma. Niliuliza hapa inakuwaje CAG astaafu kabla ya kumaliza kazi aliyopewa ya kuchunguza wizi katika wa pesa hizi katika bank account ya Escrow pale BoT sasa ukweli unaanza kudhihiri na kuonyesha kwamba alishinikizwa astaafu na fisadi Kikwete ili waweze kupata namna ya kuichakachua hiyo ripoti, kwani haiwezekani rais ashindwe kuomuongezea mteule wake miezi mitatu hata mwaka mzima ili aweze kukamilisha kazi muhimu aliyopewa na Taifa. Namuomba Mungu Wabunge wa UKAWA na wale CCM ambao wanajali maslahi ya taifa letu waendeleze hii kitu katuika vikao vya 2015 vya Bunge mpaka kieleweke. Huyu mhuni hastahili kabisa kuendelea kuwepo madarakani lazima ashinikizwe aondoke badala ya kuendelea kuichafua nchi katika jumuiya ya kimataifa na hivyo kuiweka katika hali ngumu sana.
Watu msokuwa na ajira za maana mna shida sana, tangu asubuhi ni porojo tu za siasa
 
Last edited by a moderator:
Akili yako ndipo ilipoishia hapo lol!!! Aliyekwambia sina ajira ya maana ni nani!? Acha upumbavu wewe mtetezi wa wezi, wahuni na mafisadi. Haya wewe mweye ajira ya maana pita Lumumba kesho ukachukue sahani ya ubwabwa....unataka kutuwekea limit ukiwa kama nani!?

Watu msokuwa na ajira za maana mna shida sana, tangu asubuhi ni porojo tu za siasa
 
watu msokuwa na ajira za maana mna shida sana, tangu asubuhi ni porojo tu za siasa

acha kumtukana kamanda wewe!
Mimi mwenyewe kwa ajira na biashara zangu naweza kulisha tumbili wote wa h*#*#ome kwakq kwa miaka 60 bila ya ninyi kuchangia hata senti moja!.
 
Watu msokuwa na ajira za maana mna shida sana, tangu asubuhi ni porojo tu za siasa

Ajira ya maana inatokana na mambo mawili. Kwanza kuwa na elimu bora inayoweza kukupatia hiyo ajira ya maana. Wewe unatia mashaka kama una elimu bora (post zako zinadhihirisha) pili mtaji wa maana unaoweza kukufanya ujiajiri kwa shughuli halali za kukupa kipato cha kutosha. Hilo nalo linatia mashaka kwako kwani kama huna uelewa wa athari za ufisadi basi wewe ni mtu unayeishi kwa kulelewa hivyo huguswi na lolote.
Kaa pembeni waache watu wazima wajadili yao. Nenda kwenye taarabu zako.
 
acha kumtukana kamanda wewe!
Mimi mwenyewe kwa ajira na biashara zangu naweza kulisha tumbili wote wa h*#*#ome kwakq kwa miaka 60 bila ya ninyi kuchangia hata senti moja!.

Achana naye huyu mkuu,kuna watu wana laana
 
Watu msokuwa na ajira za maana mna shida sana, tangu asubuhi ni porojo tu za siasa

Na wewe pia ni great thinker?

Huna ndugu hata mmoja anaye taabika kijini kwenu huko kwasababu ya Huu upuuzi wa CCM? Au wewe unadhani familia yako yenye mke na watoto wako tu ndio kila kitu ila Wengine hawana haki ya kuwa na maisha bora?

Acha ubinafsi hizo fedha mnazo iba huku mamia ya Roho za watu zikiwa zina majonzi hazito wafikisha popote.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijui hao majangili wanajisikiaje wanapoona watu kama utour wanastaafu na heshima zote mbele ya jamii wakati wanasiasa wanastaafu huku wananchi wakiwa wamejaa nyongo Kwa hasira
 
Aliyekuwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali Bw Ludovic Utouh amesema fedha za Escrow a/c zirudishwe. Ikumbukwe kuwa yeye huyu ndiye aliyesimamia ukaguzi uliofanyika baada ya Bunge kuiagiza ofisi yake ifanye ukaguzi kabla ya yeye kustaafu kazi.
Maelezo haya ya Utouh yanadhihirisha kuwa katika fedha zile zipo fedha za umma kinyume na maelezo ya Rais (ambaye sio mtaalamu na hana mamlaka ya kutafsiri ripoti ya CAG) aliyotoa kwa wazee wa DSM.
Raia Mwema - Utouh: Za EPA zilirudi, za Escrow zirudi

Wacheni uongo kucheza na maneno, Utuoh kasema "Ushauri wangu ni kwamba uchunguzi unatakiwa ufanyike na wale watakaobainika kufanya wizi basi warudishe fedha walizoiba na halafu wapelekwe mahakamani".

Ina maana ipi hapo? kwanza, uchunguzi haujakamilika. Pili, hakuna aliyebainika mpaka sasa kafanya wizi.

Watu waongo sana, ndiyo maana hawakubandika na wameweka link tu, wanajua wengi hawatoenda kuisoma.

Wacheni uongo. Hauwasaidii kitu, tuko macho.
 
Khe khe khe khe CAG anasema pesa zirudishwe ina maana ni pesa za umma, fisadi Kikwete anadai pesa ni za IPTL!!!! Sasa nani wa kuaminiwa kati ya hawa wawili? Yule aliyefanya uchunguzi wa documents husika kwa zaidi ya miezi sita au yule aliyeandikiwa email toka kwa mmoja wa wezi wa pesa hizo kwamba pesa ni za IPTL na si za umma!? Hii ngoma bado mbichi sana.

Msomeni vizuri wacheni uongo! Utuoh kasema "Ushauri wangu ni kwamba uchunguzi unatakiwa ufanyike na wale watakaobainika kufanya wizi basi warudishe fedha walizoiba na halafu wapelekwe mahakamani".

Back
Top Bottom