CAG Mstaafu Utouh Asema Fedha Za Escrow Zirudishwe

Ukweli unaujua wewe tu ajuza mpumbavu!!! Kumbuka sakata hili lilipoanza Kafululila aliyeliibua alitukanwa kwa kuitwa tumbili, kutaka kupigwa na hata kutishiwa maisha yake lakini baada ya uchunguzi wa CAG na PCCB ukweli umedhihiti kwamba zile ni pesa za umma ziliibiwa kwa kutumia forged documents.

Kumbuka Dr Slaa alipoweka majina ya mafisadi hadharani yakiwemo ya Kikwete na Mkapa na watendaji wa juu ndani ya Serikali wengi wao walimtishia afute kauli au watampandisha kizimbani lakini ukweli ulidhihiri kwamba wengi walijihusisha kupata pesa chungu nzima kwa njia haramu.

Kikwete ni mnafiki, muongo na fisadi yuko busy kufanya kila juhudi ili dhambi zake na walio karibu naye katika sakata hili ziendelee kuwa siri maana zikiwekwa hadhaeani basi hatakuwa hana jinsi bali kujiuzulu tu kwa kujipatia pesa chungu nzima kwa njia za haramu

Hii habari haijamaliza hata wiki mbili lakini punguani wewe ni ya uongo kwa sababu tu imeandika tofauti na uongo ulioaminishwa na fisadi Kikwete.

"Kwanza niseme kwamba aliyetoa pendekezo kwa serikali kwamba iwabane walioiba fedha za EPA wazirudishe kwanza kabla ya kufuata mikondo ya kisheria ni mimi. Hela kurudi ni jambo la muhimu sana. "Ushauri wangu ni kwamba uchunguzi unatakiwa ufanyike na wale watakaobainika kufanya wizi basi warudishe fedha walizoiba na halafu wapelekwe mahakamani. - See more at: Raia Mwema - Utouh: Za EPA zilirudi, za Escrow zirudi

Hizo habari hazina ukweli wala cha maana, ulipoona nimekupa za uso kutoka kwa Utuoh ukaenda kufufuwa ujinga mwingine.

Habari ya mujini ni kuanzia Kikwete alipohutubia Umma kupitia wazee wa Dar., Hayo mengine ni porojo zenu zilizopigwa kabari na hotuba ya Kikwete. Mtahaha sana, na sisi tumo humu, labda mtulambe ban, lakini tutakaba mpaka mpaka vivuli.
 
Kikwete awape ruhusa Utouh na Hosea waende wakahojiwe ITV hata kwa masaa mawili kila mmoja kuhusu ripoti zao mbili kuhusiana na wizi huu na awape uhuru wa kuzungumza mbele ya umma wa Watanzania, tujue mbivu na mbichi.
 
Da nayeye bwana kwanini haja hitimisha hilo ktk riport yake tukatoa maubish
 
Faiza Fox

Wacha uongo watu wamchukie Kikwete kwa lipi? Yeye muda wake wa urais unakwisha sasa kwa nini wamchukie. Kikwete alipoingia madarakani kama rais hakuwa na utajiri wowote ule sasa hivi ana miradi binafsi mingapi? Ana shares kibao kwa kampuni inayochimba dhahabu kule Mwanza, Je, alinunua kihalali au alihongwa tu? Amewapa ndugu zake pesa za escrow kwa ubadhirifu, Je, hayo yote unaona ni sawa? Kweli JK ni ndugu yako wa karibu sana lakini unapokuwa rais huwi rais wa ndugu zako unakuwa rais wa Watanzania. Hivi sasa Watanzania wengi wanapenda aitishe uchaguzi hata kesho, si hakubaliani na Bunge alivunje basi kwa Mujibu wa Katiba. Mbona anapata kigugumizi kuilinda katiba iliyomuweka pale kama yeye yuko msafi? Hatuwezi kuwa na chuki na kiongozi aliyejipaka mavi usoni na yeye anachekelea anafikiri hayo ni manukato.

Wacha kuzuwa wewe, hiyo miradi ulimpa wewe?

Hao Watanzania wengi ni wewe na ukawa? hivi huu uongo wenu unawasaidia nini? Tanzania haiendeshwi kwa uongo uongo.

Kikwete mnamchukia kawazibia mengi sana. Kikwete ndiye Rais pekee wa Tanzania aliyethubutu kuwssweka ndani mpaka mawaziri wenye nguvi kabisa. Kikwete ndiye Rais pekee aliweza kuwasweka ndani mpaka ma god father waliozitisha serikali zote za kabala yake. Msofe yuko wapi? Alex Masawe yuko wapi?

Kikwete huyo huyo ndiyo aliyewea kufanya mpaka leo manijuwa EPA ni nini na leo hii mnaijuwa escrow ni nini?

Juzi kawapa vijembe vyenu pale kidiplomasia, kawauliza isingekuwa CCM mngeyaona haya> CCM wangetaka au wangekuwa wanafaidika na haya hata kwenye kamati yasingefika, kwani kwenye hiyo kamati CCM ni wengi kuliko UKAWA, umesahau?

Ile alikuwa anawapasha kuwa ni kazi yake ile kama Mwenyekiti wa CCM. Kumbuka hilo.

Siyo mnakuja hapa na kumzulia Utuoh, Utuoh anasema uchunguzi ufanyike kama kuna wizi warudishe fedha na halafu wafikishwe mahakamani, sasa sema kauli hiyo ya Utuoh na kauli za Kikwete jusi kwenye hotuba yake zinatofautiana nini?

Mbona hamsemi Utuoh alipowashushuwa mnapoongelea ya EPA? kuwa ooh Kikwete kawasamehe! Utuoh kaweka wazi kuwa huo ulikuwa ushauri wake na hakuna aliyesamehewa nyie bado mmekaa mnadanganya wa watu.

Ni wapi aliposema hakubalini na bunge? wacha ujing huo. Maazimio yote manane ya bunge kayafanyia kazi na kaainisha alichokifanya na hatua zilizochukuliwa na zitazochukuliwa.

Ulitaka nini zaidi? afukuze watu hovyo hata wasio na hatia? Ulitaka ataifishe mtambo wa PAP azidi kuitia nchi hasara za makesi na kuwekewa vikwazo kama alivyofanyiwa Nyerere? akaiacha hii nchi kuwa masikini wa mwisho duniani baada ya blunder yake ya kutaifisha?

Kikwete hakurupuki hata kidogo.

Safari hii mmeshikwa pabaya nyimbo zenu za kudandia zime-flop. Hamna jipya.
 
Khe khe khe khe atakwambia wanamchukia kwa sababu ni Muislamu kwi kwi kwi kwi.

Faiza Fox

Wacha uongo watu wamchukie Kikwete kwa lipi? Yeye muda wake wa urais unakwisha sasa kwa nini wamchukie. Kikwete alipoingia madarakani kama rais hakuwa na utajiri wowote ule sasa hivi ana miradi binafsi mingapi? Ana shares kibao kwa kampuni inayochimba dhahabu kule Mwanza, Je, alinunua kihalali au alihongwa tu? Amewapa ndugu zake pesa za escrow kwa ubadhirifu, Je, hayo yote unaona ni sawa? Kweli JK ni ndugu yako wa karibu sana lakini unapokuwa rais huwi rais wa ndugu zako unakuwa rais wa Watanzania. Hivi sasa Watanzania wengi wanapenda aitishe uchaguzi hata kesho, si hakubaliani na Bunge alivunje basi kwa Mujibu wa Katiba. Mbona anapata kigugumizi kuilinda katiba iliyomuweka pale kama yeye yuko msafi? Hatuwezi kuwa na chuki na kiongozi aliyejipaka mavi usoni na yeye anachekelea anafikiri hayo ni manukato.
 
"Kwanza niseme kwamba aliyetoa pendekezo kwa serikali kwamba iwabane walioiba fedha za EPA wazirudishe kwanza kabla ya kufuata mikondo ya kisheria ni mimi. Hela kurudi ni jambo la muhimu sana. "Ushauri wangu ni kwamba uchunguzi unatakiwa ufanyike na wale watakaobainika kufanya wizi basi warudishe fedha walizoiba na halafu wapelekwe mahakamani. - See more at: Raia Mwema - Utouh: Za EPA zilirudi, za Escrow zirudi

Hayo mengne yooote umepiga porojo zako na povu linakutoka bila ushahidi wowote.

Hicho kipande kinakusuta wewe.

Sema sasa, jikichwa la habari lenu na hicho kipande vinaendana? Waliobainka ni nani mpaka sasa?
 
Utamu wa madaraka kwa Kikwete na mafisadi wengine ndani ya Serikali unaizamisha nchi.

Tanzania Daima – Utamu wa madaraka unazamisha nchi

Madaraka Kikwete hayajamjia kibahati mbaya wala hajapachikwa pale kama wote wa kabla yake. Kwanza alimbwaga Salim Ahmed Salim akaja akambwaga Mbowe na akina Lipumba kwa 80% ya kura zote, hap ndipo alipoanzia Urais.

Hakupachikwa pale yule, he is the chosen one aka Chaguo la Mungu, na mtateseka sana kwa chuki zenu, yeye huyooooooo anafayan mambo yake yakuliendeleza hili taifa kuliko Rais mwengine yeyote wa kabla yake.

Na mwezi wa nne Katiba inapita na hamna ujanja, nyota njema huonekana alfajiri.
 
Na kipengele hiki kinamsuta nani!? Kama pesa zi za umma kwa nini tena CAG ang'ang'ane kwamba zirudishwe!? Pesa za private company iweje CAG azing'ang'anie zirudishwe!? Acha ujinga wako bhanaaa!!!

Tumia akili kufikiria ajuza!!!

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh, amesema serikali inatakiwa kuhakikisha fedha zake zilizokuwepo kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zinarudi kama ilivyokuwa kwa zile za EPA. - See more at: Raia Mwema - Utouh: Za EPA zilirudi, za Escrow zirudi

Hayo mengne yooote umepiga porojo zako na povu linakutoka bila ushahidi wowote.

Hicho kipande kinakusuta wewe.

Sema sasa, jikichwa la habari lenu na hicho kipande vinaendana? Waliobainka ni nani mpaka sasa?
 
Hahahahaha lol!!!! asingetumia mabilioni kumchafua SAS, alijua hana uwezo wa aina yoyote mbele ya SAS hivyo kupitia kundi la mafisadi wenzake wenyewe walijiita wana mtandao wakakusanya pesa chungu nzima kwa mafisadi nchini na kumchafua SAS kwa kuhonga mabilioni ya pesa na hatimaye kuununua Urais, bila kutumia pesa na kutoa rushwa Urais angeusikia kwenye bomba.

Madaraka Kikwete hayajamjia kibahati mbaya wala hajapachikwa pale kama wote wa kabla yake. Kwanza alimbwaga Salim Ahmed Salim akaja akambwaga Mbowe na akina Lipumba kwa 80% ya kura zote, hap ndipo alipoanzia Urais.

Hakupachikwa pale yule, he is the chosen one aka Chaguo la Mungu, na mtateseka sana kwa chuki zenu, yeye huyooooooo anafayan mambo yake yakuliendeleza hili taifa kuliko Rais mwengine yeyote wa kabla yake.

Na mwezi wa nne Katiba inapita na hamna ujanja, nyota njema huonekana alfajiri.
 
Sasa ulitaka ziwekwe wapi? Ikulu kwa mafisadi au Lumumba?

"Kwanza niseme kwamba aliyetoa pendekezo kwa serikali kwamba iwabane walioiba fedha za EPA wazirudishe kwanza kabla ya kufuata mikondo ya kisheria ni mimi. Hela kurudi ni jambo la muhimu sana." - See more at: Raia Mwema - Utouh: Za EPA zilirudi, za Escrow zirudi

Wewe unainesha haa maana ya escrow huijuwi, pitia tena hotuba ya Kikwete upate darsa la nini escrow.

Fedha mgogoro wa maiaka 7 umemalizika na Mahakama ndiyo iliyotoa hukumu na ziko PAP kwa sasa na PAP iamewalipa wanahisa na uge kalipwa hisa zake hana deni na kodi kazilipia na PAP anaendelea kutoa umeme na sasa pesa za capacity charges haziendi tena escrow kila mwezi zinaenda akaunti za PAP kama inavyotakiwa.

Jiulize, hivi zile ambazo si capacity charge za energy charge anapokea nani?

Hapo sasa!
 
Hahahahaha lol!!!! asingetumia mabilioni kumchafua SAS, alijua hana uwezo wa aina yoyote mbele ya SAS hivyo kupitia kundi la mafisadi wenzake wenyewe walijiita wana mtandao wakakusanya pesa chungu nzima kwa mafisadi nchini na kumchafua SAS kwa kuhonga mabilioni ya pesa na hatimaye kuununua Urais, bila kutumia pesa na kutoa rushwa Urais angeusikia kwenye bomba.

Hayo mabillioni ulimpa wewe? Mbona umeishia kwa Salim Ahmed Salim tu, hujafika na kwa Mbowe aliyepigwa akapigika 80%, tena hiyo 80% changanya na za Lipumba, maana Mbowe pekee alichapwa kwa zaidi ya 90%, mpaka leo hana hamu na Kikwete, hajarudia tena kugombea nae. Kama juzi ukawa walivyolambwa serikali za mitaa.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Siwezi kuipitia hotuba ya mnafiki na muongo ambaye anawapinga hata wataalamu ambao yeye mwenyewe ndiye aliyewateua kisha wanampa ripoti naye anaipinga ili tu afiche dhambi zake kubwa za ufisadi na wale wanaomhusu kwa karibu.

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh, amesema serikali inatakiwa kuhakikisha fedha zake zilizokuwepo kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zinarudi kama ilivyokuwa kwa zile za EPA. - See more at: Raia Mwema - Utouh: Za EPA zilirudi, za Escrow zirudi

Wewe unainesha haa maana ya escrow huijuwi, pitia tena hotuba ya Kikwete upate darsa la nini escrow.

Fedha mgogoro wa maiaka 7 umemalizika na Mahakama ndiyo iliyotoa hukumu na ziko PAP kwa sasa na PAP iamewalipa wanahisa na uge kalipwa hisa zake hana deni na kodi kazilipia na PAP anaendelea kutoa umeme na sasa pesa za capacity charges haziendi tena escrow kila mwezi zinaenda akaunti za PAP kama inavyotakiwa.

Jiulize, hivi zile ambazo si capacity charge za energy charge anapokea nani?

Hapo sasa!
 
Nisome tena hayo mabilioni aliyapata wapi. Usisome kwa pupa ajuza soma kwa kituo ili uelewe nilichoandika. Huo uchaguzi wenu tu wa ndani wa mgombea wa chama chenu cha wahuni hauko free na fair kuna rushwa za hali ya juu zinatembea mchana kweupe. Unategemea na hiki kitengo chenu mnachokiita Tume ya uchaguzi, unadhani uchaguzi nchini utakuwa huru na wa haki!? Acha kujifanya punguani ajuza!!!

Hayo mabillioni ulimpa wewe? Mbona umeishia kwa Salim Ahmed Salim tu, hujafika na kwa Mbowe aliyepigwa akapigika 80%, tena hiyo 80% changanya na za Lipumba, maana Mbowe pekee alichapwa kwa zaidi ya 90%, mpaka leo hana hamu na Kikwete, hajarudia tena kugombea nae. Kama juzi ukawa walivyolambwa serikali za mitaa.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Msomeni vizuri wacheni uongo! Utuoh kasema "Ushauri wangu ni kwamba uchunguzi unatakiwa ufanyike na wale watakaobainika kufanya wizi basi warudishe fedha walizoiba na halafu wapelekwe mahakamani".

Ina maana ipi hapo? kwanza, uchunguzi haujakamilika. Pili, hakuna aliyebainika mpaka sasa kafanya wizi.

Haya mmemwamsha BOKO HARAM sasa mnaona?!
 
Nisome tena hayo mabilioni aliyapata wapi. Usisome kwa pupa ajuza soma kwa kituo ili uelewe nilichoandika. Huo uchaguzi wenu tu wa ndani wa mgombea wa chama chenu cha wahuni hauko free na fair kuna rushwa za hali ya juu zinatembea mchana kweupe. Unategemea na hiki kitengo chenu mnachokiita Tume ya uchaguzi, unadhani uchaguzi nchini utakuwa huru na wa haki!? Acha kujifanya punguani ajuza!!!

Umewabwaja na kuhororoja kama kawaida hukuonesha kayapata wapi, ndiyo maana nikakuuliza ulimpa wewe, maana sifa hizo naziona kwako pia.

Uchaguzi huru na wa haki upo Ufipa tu au siyo? amabapo hata mahawara wana sauti kuliko wanasiasa wa ukweli.
 
Kumbe hata kusoma hujui!? pole zako nyingi. Nimekuwekea tena hapa, acha kubwata kama mbwa koko.
kupitia kundi la mafisadi wenzake wenyewe walijiita wana mtandao wakakusanya pesa chungu nzima kwa mafisadi nchini

Back
Top Bottom