CAG: Dreamliner za ATCL zatia hasara ya Tsh bilioni 23.6

Mama anairudisha nchi katika nidhamu, anaitoa katika fikra za kiwendawazimu, mwendawazimu huwa anakusanya makopo lakini hajui ayafanyie nini! Sasa ATCL wameshaelekezwa wafanye biashara na siasa haitawalinda, na uongozi wa ATCL ukishindwa basi uondoke wenyewe. Mama anataka faida!
Ni mwaka sasa bado naskia kelele za mwendazake na ni mwaka sasa toka hangaya aongoze!!
NATARAJIA mwaka huu uwe wa mwisho kumnanga jpm
ila sababu ya ujinga wenu mtaendelea tuu ad25 ili kuficha mazaifu yenu

*by the way nyumbu wenzio washahama kwa jpm habari ya mujini a.k.a chaka ni russia ukraine war
 
Tutaendelea kuagiza CAG afanye special audit sehemu mbalimbali, hasa ununuzi wa ndege na korosho na mengineyo, Kisha tunakuwa tunalipua moja moja, mtu wa hovyo lazima aonekane wa hovyo, asipewe legacy isiyokuwa yake
 
Mama anairudisha nchi katika nidhamu, anaitoa katika fikra za kiwendawazimu, mwendawazimu huwa anakusanya makopo lakini hajui ayafanyie nini! Sasa ATCL wameshaelekezwa wafanye biashara na siasa haitawalinda, na uongozi wa ATCL ukishindwa basi uondoke wenyewe. Mama anataka faida!
Umepiga ushuzi
 
Goodluck..... ila msijisahau mkashindwa kutengeneza legacy yenu 2025 sio mbali
 
Haya Magufuri kaleta hasara kweli nini kifanyike, (akamatwe, afungwe au anyongwe)

Issues updates ni hizi kwa sasa ...
 
Kikao Cha familia kinaendelea, tutatoa majibu
 
Mama anairudisha nchi katika nidhamu, anaitoa katika fikra za kiwendawazimu, mwendawazimu huwa anakusanya makopo lakini hajui ayafanyie nini! Sasa ATCL wameshaelekezwa wafanye biashara na siasa haitawalinda, na uongozi wa ATCL ukishindwa basi uondoke wenyewe. Mama anataka faida!
Nimecheka sana hapo kwa mwendawazimu kukusanya makopo kibao lakini hajui ayafanyie nini na ukiangalia Magufuli alivyonunua midege hiyo kwa fujo na mbwembwe kibao leo hii yamekuwa sehemu za kutagia njiwa!!
 
Tungependa detailed information from CAG

Viti havijai, hairuki imeharibika, hawana marubani, inaogopa kukamatwa, haina vibali, Covid 19, vikwazo vya EU, vita vya Ukraine ?????
 
Mama anairudisha nchi katika nidhamu, anaitoa katika fikra za kiwendawazimu, mwendawazimu huwa anakusanya makopo lakini hajui ayafanyie nini! Sasa ATCL wameshaelekezwa wafanye biashara na siasa haitawalinda, na uongozi wa ATCL ukishindwa basi uondoke wenyewe. Mama anataka faida!
Kwenye ripoti ya CAG ya mwakani Atcl watapata faida ya bilioni 60
 
Back
Top Bottom