Yule ni wa Ngara.Yule siyo mchaga ni mtu wa Kigoma
Mhaya kapiga pesa yake vizuriYule ni wa Ngara.
Akague na VOTE ya IkuluCAG KESHAAMBIWA USIOGOPE, KAGUA.
IKULU UNAMGUSA RAISI MOJA KWA MOJA, KUNA KUTUNZIANA HESHIMA.Akague na VOTE ya Ikulu
Mbona Kenya wanakagua au yule siyo Rais ni monitor?IKULU UNAMGUSA RAISI MOJA KWA MOJA, KUNA KUTUNZIANA HESHIMA.
Kwa sasa ni mapema mno kuzalilishana.Mbona Kenya wanakagua au yule siyo Rais ni monitor?
Ya Kenya haituhusu, sisi inatuhusu ATCL yetuUfipa achen ujinga Kenya Wana hasara ya more than 89B na bado Hali sio nzur
Kukagua mali ya umma ni kudhalilishana?Kwa sasa ni mapema mno kuzalilishana.
Kuna uzushi mkubwa uliletwa na Zitto kuwa kasma ya Atcl imehamishiwa ikulu ili watu waibe pesa sababu pesa za ikulu hazikaguliwi. Jambo ambalo lilikuwa sio kweli na wafuasi wa Chadema walikomaa sana juu ya ishu. Leo wameumbuka.
View attachment 1736519
Acha kupotosha hapa.Kuna uzushi mkubwa uliletwa na Zitto kuwa kasma ya Atcl imehamishiwa ikulu ili watu waibe pesa sababu pesa za ikulu hazikaguliwi. Jambo ambalo lilikuwa sio kweli na wafuasi wa Chadema walikomaa sana juu ya ishu. Leo wameumbuka.
View attachment 1736519
Ndio. Endapo kama kuna wizi na umeihusu ikulu kwa sasa itakuwa ni kudhalilishana. Wakati wake utafika tu tuombe uhai. Kwani ulidhani CAG angeweza kuzungumzia ripoti ya ATCL?Kukagua mali ya umma ni kudhalilishana?