CAG apigwa kufuli

CAG apigwa kufuli

lakini ktk kuumba muswada huo.. . wataalamu wa CAG nao siwamehusishwa...!?.
hoja iwe na majibu hapohapo au yaletwe wkt ujao ishu ni kwamba mbona wabadhirifu\ mafisadi hatuoni kuwajibishwa zaidi tunaona ktk nafasi zngine wakila raha
 
Hivi Tanzania tuna watu wanafikiria kwa kutumia nini? serikali inachosema hapo ni kwamba audit queries za CAG zisomwe pamoja na majibu ya serikali. tumeshuhudia bunge linapewa audit queries za mwaka uliopita ambazo by the time zinasomwa bungeni na kusikilizwa na wananchi unakuta marekebisho yalishafanyika au kama ni masurufu yanakuwa yamerudishwa... so whats wrong eith that. kinachopendekezwa hapa ni bunge na wananchi kupewa taarifa sahihi wakati CAG report ikisomwa bungeni na kwa wananchi.

Labda sielewi mantiki ya haya mabadiliko. Ikiwa ni kupata majibu ya Serkali hakuna ripoti ya CAG ambayo inakamilishwa bila management (serkali)response kwa kila querry. Na akishakamilisha kukagua anawaachia makala ya ripoti ambayo baadaye uwasilishwa bungeni. Kamati zinapojadili Serkali inapaswa kuja na majibu ya jinsi ilivyotekeleza mapendekezo ya CAG. Sasa hapa wanachokitafuta ni nini kwa mapendekezo haya?
 
Nahitaji ufafanuzi zaidi nimekuelewa kidogo
 
Labda sielewi mantiki ya haya mabadiliko. Ikiwa ni kupata majibu ya Serkali hakuna ripoti ya CAG ambayo inakamilishwa bila management (serkali)response kwa kila querry. Na akishakamilisha kukagua anawaachia makala ya ripoti ambayo baadaye uwasilishwa bungeni. Kamati zinapojadili Serkali inapaswa kuja na majibu ya jinsi ilivyotekeleza mapendekezo ya CAG. Sasa hapa wanachokitafuta ni nini kwa mapendekezo haya?
Uko sahihi kwa kiasi kikubwa ndio maana hata serikali ilikiwa inawashangaa wapinzani walikuwa wanapinga nini... Serikali inachosema wakati sasa consolidated CAG report inasumwa pale bunge iambatane na UPDATED stands of actions by management( government) on Audit queries... hii ina maana gani... Report ya CAG by the time inasomwa bungeni mambo mengi yanakuwa yako updated already meaning unaweza kusema risiti za x hazikuwepo kumbe by that time report inasomwa bungeni...the query may be already closed. hiyo ndio mantikiya kusomwa concurrent na majibu ya serikali ya wakatin huo ikisomwa, note audit queries will not be changed.
Kumbuka ni muda mrefu tangu audit ifanyike, report zitengenezwe, consolidate CAG report itengenezwe na zaidi report isomwe bungeni... so the point is CAG report should be read concurrent with updated management comment in parliament session to ensure wananchi get true, fair and corrent view of the goverment business @ the time of reading to the wananchi.
 
Ikiwa Bunge litapitisha marekebisho hayo ni dhahiri kwamba Bunge halitakuwa tena na uwezo wa kuwawajibisha watendaji wa Serikali ambao watabainika kuhusika na upotevu wa fedha au kufuja fedha za umma, hivyo kupunguza uzito wa mjadala na uwezo wa wabunge kuhoji.

Bunge likikubali kufungwa mdomo ni juu yao.tutakutana nao 2015 watatuleza vizuri walipewa nini?
 
Mjumbe naomba nitofautiane na wewe for the first time, na hii ni kwa sababu Mwananchi limepotosha ukweli. Mabadiliko haya yana tija sana kwa usimamizi wa serikali

Report zitatakiwa zipatiwe majawabu kwanza ndipo zipelekwa Bungeni ili bunge lichukue fursa ya kuwajibisha tu. tofauti na sasa ambapo bunge na kamati zake bado zinapoteza mda mwingi kuomba majibu na malimbikizo ya majibu ya miaka hata 5 ya nyuma. Inamaanishwa kuwa hakutakuwa tena na mambo ya ''rudini mkalete jibu hili, sijui karekebishe hiki''. No, badala yake ni kwamba kitakachopelekwa bungeni ni baada ya serikali kujibu ipasavyo na bunge litapitia hoja pamoja na majibu ya serikali na kuwajibisha kwenye mapungufu

Wanaenda kutengeneza majibu mazuri, acha kuibiwa wewe! Bunge linafanywa ruber stamp! Nani atakuwa mwenye nguvu hapo? Lengo ni kuficha ufisadi, kulinyima hoja bunge za kuibana serikali kwani watakuwa ni wa mwisho kabisa kupata report ya CAG! Wataipata baada ya kuchakachuliwa!
 
hata wewe nao ujui hata mfumo wa ukaguzi unavyokwenda.......umeoana sasa na kamati ya zitto imezikwa?

Mjumbe naomba nitofautiane na wewe for the first time, na hii ni kwa sababu Mwananchi limepotosha ukweli. Mabadiliko haya yana tija sana kwa usimamizi wa serikali

Report zitatakiwa zipatiwe majawabu kwanza ndipo zipelekwa Bungeni ili bunge lichukue fursa ya kuwajibisha tu. tofauti na sasa ambapo bunge na kamati zake bado zinapoteza mda mwingi kuomba majibu na malimbikizo ya majibu ya miaka hata 5 ya nyuma. Inamaanishwa kuwa hakutakuwa tena na mambo ya ''rudini mkalete jibu hili, sijui karekebishe hiki''. No, badala yake ni kwamba kitakachopelekwa bungeni ni baada ya serikali kujibu ipasavyo na bunge litapitia hoja pamoja na majibu ya serikali na kuwajibisha kwenye mapungufu
 
Uko sahihi kwa kiasi kikubwa ndio maana hata serikali ilikiwa inawashangaa wapinzani walikuwa wanapinga nini... Serikali inachosema wakati sasa consolidated CAG report inasumwa pale bunge iambatane na UPDATED stands of actions by management( government) on Audit queries... hii ina maana gani... Report ya CAG by the time inasomwa bungeni mambo mengi yanakuwa yako updated already meaning unaweza kusema risiti za x hazikuwepo kumbe by that time report inasomwa bungeni...the query may be already closed. hiyo ndio mantikiya kusomwa concurrent na majibu ya serikali ya wakatin huo ikisomwa, note audit queries will not be changed.
Kumbuka ni muda mrefu tangu audit ifanyike, report zitengenezwe, consolidate CAG report itengenezwe na zaidi report isomwe bungeni... so the point is CAG report should be read concurrent with updated management comment in parliament session to ensure wananchi get true, fair and corrent view of the goverment business @ the time of reading to the wananchi.

Kwa maana hii ni kuwa sheria hii inailazimisha Serkali kutoa majibu ya utekelezaji wa hizo queries bungeni? Kwa nini sasa Serkali ijitungie sheria ambayo inaifunga? Swali lingine ni wakati gani CAG atathibitisha hizo update za Serkali au itabidi Bunge Lilidhike tu na hizo update bila CAG kuzipitia na kuthibitisha?
 
Jana akitoa lecture at Harvard Kennedy School CAG wa India rebutted criticism that the official auditor was exceeding its mandate.

Akasema "I'm not a rubber stamp". Referring to the criticism sparked by CAG reports on the telecom and coal scams, among others, he said the role of a public auditor cannot be confined to merely placing its report in Parliament.

"Should we, as public auditors, limit our role to placing reports in Parliament or go beyond that and seek to sensitise public opinion on our audit observations, especially so in social sector audits such as rural health, primary education, water pollution, environment, drinking water etc?"

Akasema maintaining that the auditing of government and public entities has a positive impact on trust in society: "It focuses the minds of the custodians of the public purse to use resources effectively."

Read more at:I am no rubber stamp, CAG Vinod Rai warns UPA during Harvard speech : North, News - India Today

Sisi tunaenda completely the opposite.
 
Kwa maana hii ni kuwa sheria hii inailazimisha Serkali kutoa majibu ya utekelezaji wa hizo queries bungeni? Kwa nini sasa Serkali ijitungie sheria ambayo inaifunga? Swali lingine ni wakati gani CAG atathibitisha hizo update za Serkali au itabidi Bunge Lilidhike tu na hizo update bila CAG kuzipitia na kuthibitisha?
1.Serikali itakuwa na opportunity ya ku-update yale ambayo imeyafanyia kazi tayari, wasipopenda shauri yao Bunge litaendelea kuwaanika kwamba ni wezi, mafisadi etc. So it is for interest of serikali kujibu hoja na benefits for citizen/wananchi to have both sides of the coin CAG report and updated managaments(government) comments.

2.Serikali huwa haitungi sheria bali inapeleka mapendekezo Bungeni inform ya mswada ukipitishwa na Bunge na Kusainiwa na Raisi ndio unakuwa sheria. Accountable is Bunge.

3. Hizi updates ni kwa ajili ya mijadala Bungeni mainly. Haibadilishi au kuingilia CAG audit processes... so kama ilivyo kawaida next... preceeding audit bado ma-auditor wata- query all queries as if hawakuona au kusikia chochote pale bungeni/mjengoni.
 
1.Serikali itakuwa na opportunity ya ku-update yale ambayo imeyafanyia kazi tayari, wasipopenda shauri yao Bunge litaendelea kuwaanika kwamba ni wezi, mafisadi etc. So it is for interest of serikali kujibu hoja na benefits for citizen/wananchi to have both sides of the coin CAG report and updated managaments(government) comments.

2.Serikali huwa haitungi sheria bali inapeleka mapendekezo Bungeni inform mswada ukipitishwa na Bunge na Kusainiwa na Raisi ndio unakuwa sheria. Accountable is Bunge.

3. Hizi updates ni kwa ajili ya mijadala Bungeni mainly. Haibadilishi au kuingilia CAG audit processes... so kama ilivyo kawaida next... preceeding audit bado ma-auditor wata- query all queries as if hawakuona au kusikia chochote pale bungeni/mjengoni.

Asante kwa ufafanuzi huu. Hata hivyo ninazidi kushangaa kwa nini Serkali imependekeza sheria hii, kwa sababu sioni haja yake. Serkali ilikuwa na uwezo wa kupeleka hizo update bila sheria wakati ripoti ya CAG Ikijadiliwa kwenye Kamati ya Bunge. Unless of-course sheria ya sasa ilikuwa inazuia.
 
Unajua ndg, serikali zote duniani kwa kiasi kikubwa zinaongozwa na bureaucratic style of management...ambapo style hii ya management ina depend on policy, law, procedure, guideline mostly clearly written, kuondoa mambo kuendeshwa kwa utashimwa mtu...Hata hivyomukitaka jambo serikalini lifanye kazi sustainably/endelevu...hakikisha lina written policy, law, procedure or guideline.

Ndio maana wengine wetu tunaamini kila bunge linapoona mapungufu serikalini. kazi yao ni kuziba mianya kwa kurekebisha au kutunga sheria mpya.Kutoa mapovu, au kugonga meza etc.., haisaidii sana maana watasahau mara tu wakiondoka pale.
 
Kwa wale mliofuatilia mjadala wa bunge juu ya marekebisho ya hii sheria yamepitishwa kama yalivyopendekezwa na serikali???
 
Watu mnasema rais apunguziwe madaraka ndiyo kwanza mnamrundikia!,kumpelekea rais report ni njia mojawapo ya kuficha makosa,si rahisi report kama ikiwa mbovu itawekwa hadharani,watuambie ni mapungufu gani yaliyojitokeza kwa utaratibu uliopita,hiki ni kitanzi kingine kwa ccm,

mkuu huyo wanaempelekea hizo ripoti ana huo muda wa kuzisoma?wakati yeye kiguu na njia.masikini mafao yetu kwenye mifuko ya hifadhi watazikwangua zote na hivi wakina zitto hawapo
 
Mjumbe naomba nitofautiane na wewe for the first time, na hii ni kwa sababu Mwananchi limepotosha ukweli. Mabadiliko haya yana tija sana kwa usimamizi wa serikali

Report zitatakiwa zipatiwe majawabu kwanza ndipo zipelekwa Bungeni ili bunge lichukue fursa ya kuwajibisha tu. tofauti na sasa ambapo bunge na kamati zake bado zinapoteza mda mwingi kuomba majibu na malimbikizo ya majibu ya miaka hata 5 ya nyuma. Inamaanishwa kuwa hakutakuwa tena na mambo ya ''rudini mkalete jibu hili, sijui karekebishe hiki''. No, badala yake ni kwamba kitakachopelekwa bungeni ni baada ya serikali kujibu ipasavyo na bunge litapitia hoja pamoja na majibu ya serikali na kuwajibisha kwenye mapungufu

Acha kutudanganya, uwezo wako ni mdogo sana katika swala la ukaguzi wa mahesabu.
 
Back
Top Bottom