Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,193
- 8,636
Acha unafiki wee farisayo!! Kila cku unamuita Slaa akili kubwa!!🤩🤩🤩
Ukifeli upadre umefeli vyote ni swala la muda tu!
Acha unafiki wee farisayo!! Kila cku unamuita Slaa akili kubwa!!🤩🤩🤩
Ukifeli upadre umefeli vyote ni swala la muda tu!
Slaa hakufeli upadre Uwe unaelewa!Acha unafiki wee farisayo!! Kila cku unamuita Slaa akili kubwa!!
Failure ina include kufaulu na kushindwa ku maintain na ukaacha halkadhalika kushindwa mtihan!! Hakuna kitu kibaya kujiona genius while u don know nothin'. Kanuni ya failure ni hiyo.. ishi humo.Slaa hakufeli upadre Uwe unaelewa!
Kama kumbukumbu ziko sawa hata wewe ni mwana ccm tena ile ya 2005-2010...Wizi uko kwenye DNA ya WanaCCM.
Unamaanisha kipind kaweka picha ya nape ama!!Kama kumbukumbu ziko sawa hata wewe ni mwana ccm tena ile ya 2005-2010...
Umehama lini huko?
Ni mjinga tu anayeamini Dr Slaa aliacha upadre!Failure ina include kufaulu na kushindwa ku maintain na ukaacha halkadhalika kushindwa mtihan!! Hakuna kitu kibaya kujiona genius while u don know nothin'. Kanuni ya failure ni hiyo.. ishi humo.
MkuuIfike wakati wanaoteuliwa wapimwe uwezo wa kazi na wananchi tena kwa kura siyo mwonekano
Yule afande amekimbia nazo SA, Magufuli naye amezikpeleka wapi?Bosi wake aliiba 1.5 trilioni hakuguswa
Aletwe humfrey polepole afanye upya hesabu ili siro asiwe ameiba
Upinzani upo mioyoni mwa watu, na ni mapinduzi ya kifikra ndan ya watu!! Kwa akili yako unadhan siujui mfumo wa Nchi hii? Nikwambie tu ww hujui kitu ni unabeba vihabar vya hapa na pale.😂😂😂 Nyie ndio mnaoamini Tanzania kuna vyama vya upinzani!
Itaga Seminary
Upinzani wa moyoni 😂😂😂😂😂😂Upinzani upo mioyoni mwa watu, na ni mapinduzi ya kifikra ndan ya watu!! Kwa akili yako unadhan siujui mfumo wa Nchi hii? Nikwambie tu ww hujui kitu ni unabeba vihabar vya hapa na pale.
Masikini hata huelew nn nasema pole san!! Code nyingine zivungie tu kuzielewa ni mpaka uwe na open minded!!Upinzani wa moyoni 😂😂😂😂😂😂
🤩🤩🤩Masikini hata huelew nn nasema pole san!! Code nyingine zivungie tu kuzielewa ni mpaka uwe na open minded!!
TISS ndio namba 1.Wahalifu wakubwa wa nchi yetu ni
1. CCM
2. Polisi
3. TISS
Mkuu toa ushauri nini kifanyike. Niko tayari kwa maamuzi yako. Nimechoka kusoma habari za hawa Majizi.Anayepaswa kuwajibika ni anayewateua hawa na kuwahamisha hamisha wakishaharibu.
Haiwezekani nchi nzima iwe na viongozi wale wale miaka 20+ huku wakirudia makosa yale yale.
Tmekuwa Taifa la ajabu sana
Siku Polisi wakijitenga na CCM ndiyo itakuwa mwisho wa Chama kile. Lakini pia ndio utakuwa mwisho wa wizi wa kipuuzi ndani ya Jeshi la Polisi. Uonevu ubambikiaji kesi kwa raia utakoma pia.Ndio maana polisi wakiambiwa wapige raia na kusimamia wizi wa kura wanatii, maana wanajua ukiingia uongozi mwingine Madudu yao yatakosa wa kuwalinda. Kwa sasa hawana hofu ya kuchukuliwa hatua, maana hata wao wamefanikisha serekali hii ya majizi ya kura kuingia madarakani bila ridhaa ya umma.
🙏🙏🙏Mkuu
Una hoja nzuri sana tena ni hoja inayopelekea uwajibikaji kuwa haiba ya kudumu kwa kila nafasi ya uongozi.
Tatizo ni kwamba hapa Tanzania kuna kikundi kidogo cha watu kinamiliki funguo za mamlaka za nchi. Jeshi, Usalama, Mahakama, Bunge na Hazina. Kundi hilo halioni taabu kumuua Mtanzania yeyote anayetishia maslahi yao.
Maslahi yao sasa ndo hizo namba unazpzisoma kwenye ripoti ya CAG kila muhula.
Unaweza kutafuta hata kwa darubini kutafuta ni hatua gani ziliwahi kuchukuliwa dhidi ya wenye hati chafu za ukaguzi wa CAG. Imefika mahala aibu imekuwa kubwa wanarekebisha sheria za ukaguzi wa hesabu za serikali kufavor hati chafu kwa kuzipa madaraja.
Mkuu hapo zimwi letu ni CCM kwa ujumla wake na siyo mtu mmoja mmoja