SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,445
Jee umeiosoma report yote? Jee umewahi kusoma na reports zingine za nyuma?Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge.
Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda.
Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara.
Swali kwa CAG
Je, katika report zake mbona hajaigusa ofisi ya makamu wa rais?
- Inamaana kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?
CAG mbona hajaigusa ofisi ya waziri wa fedha na mipango?
- Je, kipindi hicho ofisi hiyo haikufanya makosa?
Nasema kwamba CAG aache kitete asiogope asema ukweli.
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Ulishamsikia Mama kipindi cha Jiwe akisimama akitoa tamko lolote linalohusu hiyo miradi?
Tatizo kubwa la jiwe ni kujiingiza moja kwa moja katika masuala ambayo walipaswa wafanye watu wa chini yake ndio maana zikiguswa sehemu zozote mataga wanafikiri mtu wao anashambuliwa.
Kazi ya makamu Wa Rais ni kufungua warsha,matamasha,kukata utepe nk ,ofisi y VP ahitaji fungu kubwa,sanasana mishahara na allowance.Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Angepata wapi hera za kuifanya chato kuwa mkoa bila kuchota hizo Hera.Hilo ndio kosa kubwa la Hayati pamoja na Mengi mazuri aliyofanya
Smart questionMi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Sawa mkuu lakini CAG analinda sehemu zake asije pigwa kichwa na mamaHivi kuna mtu amesoma taarifa ya CAG hata Dibaji tu kati ya mtoa mada na wachangiaji wengine au tunachangia kwa kusimuliwa tu na watu wengine au kudokoa dokoa tu taarifa….CAG katika dibaji yake huwa anaandika …..kwa mwaka huu nimefanikiwa kukagua mashirika au idara au taasisi xxx. Kwa hiyo sio kwa mwaka anakagua mashirika/idara/taasisi zoote. Hivyo kama taasisi Fulani haipo basi itakuwepo ktk taarifa za miaka iliyopita au zijazo kulingana na plan na uhitaji.Nipo tayari kusahihishwa
Usimsingizie Kikwete kuwa alikuwa na Busara. Utaenda motoni kumsingizia mtu jambo.Waseme Tu ukweli kwamba mwamba alituweka mfukoni , au wapige kimya waanze upya , waliopo wote hakuna wa kumlaumu mwenzake may be wote watoke tuanze upya.
Style ya kupondeana Kwa wanasiasa ni ya kawaida ili kupata trust ya wananchi , tena aliyeanzisha haya mambo ya kupondeana ni jiwe, aliyekuwa na busara alikuwa kikwete tuuu, Jiwe alipoingia alianza Kwa kuibua uozo wa kipind cha JK na akawa analaumu waz waz ...... As if yeye haikuwepo kwenye Baraza la mawazir for more than 20 yrs
Hata kama ni mnafiki, cha kujiuliza huo uozo palipo huo uozo ametunga au ni kweli kuna uozo ?CAG anatumika kisiasa