CAF sio wajinga kuwanyima marefa wa Tanzania mechi za CAF champions league

Nasema hivi wewe boya huna point ya msingi, umetumia goli la leo la simba kama reference ya kutetea ujinga wako nimekubia ulaya huko unakokusofia moja ya spain real vs sevile nacho alifunga goli kama la leo, na uingereza henri alifunga nae dhidi ya chelsea na marefa wa fifa ila bado unadai mazingira yalikua tofauti, una maanisha mazingira ya jografia au??
Boya kabisa wewe...ionee aibu akili yako kwa kukuangusha..

Unaongea upumbavu

Hawa marefa wanasifa zipi kila siku ushenzi .....

Kama wanaviwango mbona hawapewi mechi za kimataifa.

Ushabiki wakipumbavu
 
Faulo ilipulizwa.Maana yake mchezo umesimama.

Ili mchezo uendelee lazima refarii aruhusu tena.
refa alikua ana ongea nini na wachezaji wa Azam kama ame ruhusu mpira uanze?
Angalia hizo mechi nilizokitajia za arsenal vs chelsea na real madrid vs seville uniambie kama kipyenga kilipulizwa...
 
Acha mhemko hio picha hapo refa yupo katikati ya wachezaji wa Azam
6999259E-5F71-4DA8-982A-9B100FC1FBCF.jpeg

nimeona niiweke tena hii picha, ni ukuta upi ambao refa kasimama hapa? Huo mstari unauona? Ukuta upi unasimama pembeni kabisa ulipo mpira? Chama yuko karibu na mpira ila pembeni, refa yukonpbeni zaidi, huo mstari sijui uniona? Vaa miwani au weka utopolo pembeni utaona vizuri..
Huo mstari perpendicular na mstari wa kona sio mstari mmoja
 
Refa anaruhusiwa kusimama kwenye ukuta? angalia alipo kua referee
Ukuta upi wewe? Watu wako pembeni kabisa ya mpira, umewahi fika ktk viwanja vya mpira au hata kuangalia mpira ktk tv na kujua michoro ya mistari ya viwanja? Yawezekana nazungumza na tozi wa basketball ambaye hajui mpira wa miguu ukoje
 
Hii fainal ya simba na yanga imelazimishwa sana ije kutokea ...refa sijui kapewa kitu kidogo
 
Umeandika mengii habari sijui refa alikuwa wapi, mara nani alikuwa wapi, mara nini kilifanya vipi, ila ukumbuke kama refa alipuliza filimbi ya kuendeleza mchezo ujue hapo hakuna la ziada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom