Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,982
- 12,703
Pole yako....Tunakoswakoswa hapa du! wajameni mpaka nimepost ujumbe wa mpezi jf badala ya whatsapp....duuu@yericho
Pole yako....Tunakoswakoswa hapa du! wajameni mpaka nimepost ujumbe wa mpezi jf badala ya whatsapp....duuu@yericho
hahahaaaaaaaa mkuu ulikuwa PM nini ukashtukia wapost kuhu
Kwani humu MMU.....? au ni ya Heaven on Earth?
ahaahhaaaa...uwepo wako leo kweny game ngumu kma hii..unatupunguzia stress!!hahahaaaaaaaa mkuu ulikuwa PM nini ukashtukia wapost kuhu
naomba Mungu zisiongezwe 30.,ntajifia
Huyo jamaa mwizi na muharibifu! Umeyaona maneno yake?
anaitwa steve! jamaa anaitumia yanga kama fursa, akikukuta bar ukishoboka lazma umnunulie bia.
Tatizo la Yanga hatuna wapiga penati wazuri.......
Mkuu ushaamka au bado unaota?? Heaven on Earth hebu njoo umuone huyu anaota.Ngoja mpigwe misumari 4-0 ndio mtamsahau huyo kiiza wenu.