Zitaongezwa 30 minutesKwa hiyo matokeo yakiwa hivi hadi dk 90
zitapigwa penalty?
Mkuu unafaa kuwa Nabii....Haya ni maono ya Kimungu kabisa....
Poa basi mimi nitakuja huko around mwisho wa march i dont want to cause any trouble for you because i love you and i care for you babylove
Unaangalizia link gani mkuu?hawa watu watatuumizia wachezaji woote sasa....full kuwasukuma watu
Kama kawa kama dawa,leo lazima waarabu wakae,na hiki hapa ndicho kikosi kitakachoanza kuwaua waarabu leo,Niyonzima ni mgonjwa nadhani ata kwenye bench hatakuwepo.
Updates:HT-Al Ahly0-0Young Africans.
Updates😀k 73-Al Ahly1-0Yanga
Line up:Yanga.
1.Deo Munishi
2.Twite Mbuyu
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub
5.Kelvin Yondani
6.Frank Domayo
7.Saimon Msuva
8.Mrisho Ngasa
9.Didier Kavumbagu
10.Emmanuel Okwi
11.Hamisi Kiiza
Tetesi:Yanga wakiitoa Ahly watapewa 400m kama zawadi.