CAF Champions League

Ee Mungu ondoa aibu kwa Taifa hili....Maana Yanga wakiingia 16 bora tutapa aibu kubwa sana....

Al-Ahaly piga hao Yanga utuondolee aibu...Waishie hapo hapo Misri..
 
Ni kweli nilijisahau ila naona speed ya kukoment ilitripple kweli hii ndio starehe yetu duniani haswahaswa chini ya jangwa la sahara
 
Back
Top Bottom