ahaahhaaaa...uwepo wako leo kweny game ngumu kma hii..unatupunguzia stress!!
Dah hizi penati hizi majanga sasa
Naona alikuwa anatuma PM ilhali anafuatilia game ya Yanga....Kazi kwelikweli
Unaangalizia link gani mkuu?
Na tufanye hivyo mapema maana akifariki ndio itakuwa basi tena...Mzee mwinyi aombwe msamaha alisha laani mpira wa tz kwa kuita ni kichwa cha mwenda wazimu
Ee Mungu ondoa aibu kwa Taifa hili....Maana Yanga wakiingia 16 bora tutapa aibu kubwa sana....
Al-Ahaly piga hao Yanga utuondolee aibu...Waishie hapo hapo Misri..
Mkuu unatumia link gani kuangalia mpira?Tatizo la Yanga hatuna wapiga penati wazuri.......
Mkuu ushaamka au bado unaota?? Heaven on Earth hebu njoo umuone huyu anaota.
Penalt ya kwanza yanga wanapata