Sasa naelewa kwa nini huwa wanasema magoli meng uwanja wa nyumbani ni nusu ushindi....
Tungewalaza Taifa hawa magoli mawili tuuuu....sasa hivi ingekuwa ni nderemo
Kufungwa Goli tano
Kwani humu MMU.....? au ni ya Heaven on Earth?Poa basi mimi nitakuja huko around mwisho wa march i dont want to cause any trouble for you because i love you and i care for you babylove
Nafikiri moja kwa moja penat
FULL TIME:
=============
Al Ahly 1-0 Yanga
=============
Usiogope mkuu....
Al-Ahaly tupeni raha...
Cc Heaven on Earth mpe link
Naona alikuwa anatuma PM ilhali anafuatilia game ya Yanga....Kazi kwelikweliWatu Wa MMU hao!
Tulizembea sana and we had all the resources kuwafunga magoli mawili.....saa hizi ningekuwa napuliza Vuvuzela langu tu mtaani kwetuSasa naelewa kwa nini huwa wanasema magoli meng uwanja wa nyumbani ni nusu ushindi....
Tungewalaza Taifa hawa magoli mawili tuuuu....sasa hivi ingekuwa ni nderemo
Mungu wasaidie waarabu washinde.Big up yanga mmedinda kweli duh