Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,012
yanga piga hao jamaa....
Mkuu karibu Yanga wanapigwa goli..
yanga piga hao jamaa....
Am not a fan of Yanga but wakiitoa Al Ahly ntafurahi sana. Dk ya ngapi?
huyo pia ni fundi bibie!anaingia Othman
Kama kawa kama dawa,leo lazima waarabu wakae,na hiki hapa ndicho kikosi kitakachoanza kuwaua waarabu leo,Niyonzima ni mgonjwa nadhani ata kwenye bench hatakuwepo.
Updates:HT-Al Ahly0-0Young Africans.
Line up:Yanga.
1.Deo Munishi
2.Twite Mbuyu
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub
5.Kelvin Yondani
6.Frank Domayo
7.Saimon Msuva
8.Mrisho Ngasa
9.Didier Kavumbagu
10.Emmanuel Okwi
11.Hamisi Kiiza
Tetesi:Yanga wakiitoa Ahly watapewa 400m kama zawadi.
Am not a fan of Yanga but wakiitoa Al Ahly ntafurahi sana. Dk ya ngapi?
huyo mnazi wa chelseaChelsea au arsenal kaka?
huyo mnazi wa chelsea