Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Last edited by a moderator:
Makocha wa Yanga naona benchi la moto...hawajakaa tokea ngoma ianze
Yanga haijatulia kabisa, hawa jamaa wanatuhenyesha to be honest....
wamekosa
Angalia usije ukaingia gizani na hizo update usilete.
Tiba
wamekosa
mnalo leo hehee!!
hahhaaaa noumer sana
hakika mkuu..na tunavyokaza leo, wangechoka kabisa!Ila hawa Waarab last week tungeliwafunga bao mbili tu, leo wasingekuwa na matumaini